Faidika na darasa la FaizaFoxy; Uliza chochote utajibiwa

Kweli kabisa mkuu.

Majibu ya udhaifu mkubwa hayo
Mkuu sababu za waislam kutokuwa na imani na Ndalichako ziko wazi kama kundi la mwanzo kuathirika na uongozi wake.Ikumbukwe akiwa Katibu Necta, kulitokea hitilafu katika matokea ya wanafunzi waislam na hilo likajenga hisia hasi juu yake na hasa sehem nyeti kama NECTA. Pengine ingetokea sasa basi vijana wanaomaliza elimu na walioko mashuleni na vyuoni na hata wazazi nao wangekuwa na mtazamo hasi kwake.
 

Ata ccm hii ni ya mfumo Kristo kwahiyo ni vitu ambavyo tumevizoea kutoka kinywani mwenu.

Sent from my HUAWEI Y530-U00 using JamiiForums mobile app
 
Watoto mnawakalisha madrasa kusoma Qouran tu alafu wenzao wanajisomea eti mwisho wa siku eti walingane katika ufaulu.
Ukweli ni kwamba ninyi wenzetu huwa mnaweka nguvu nyingi kwenye kujifunza Quaran kuliko masomo mengine ya darasani halafu kwenu ninyi nasikia ni heri mtoto afeli masomo mengine kuliko kufeli Elimu ya Kiislamu.
Mmeshawahi kuishi na jamii za Kiislamu hususani wa huku bara? Kama ndiyo... kutoka ndani kabisa ya moyo wenu huku mkifahamu Mungu anawaona.... kati ya vijana 10 wa Kiislamu uliokuwa unawafahamu; ni wangapi walikuwa wanasoma madrasa wakati wapo secondary school? Au angalau mnaweza kusema ni wangapi kati ya vijana wa Kiislamu 10 mnaowafahamu walikuwa wanasoma madrasa wakati wapo darasa la 5 hadi la 7?
 
si kwel.halaf kwanin injili hamuifuati?
 
si kwel.halaf kwanin injili hamuifuati?
Usipinge tuu bila maelezo.
Waislamu hawaifuati injili kwasababu wanayo Qur-aan.
Bali wanaamini kwamba Injili ni kitabu kitukufu alichokuja nacho Yesu. Mafundisho yake yalikoma pale tuu ilipokuja Qur-aan.

Kumbuka Injili tunayoizungumzia,si hii yakina Matayo,Marko,Luka na wenzao. Bali ni Injili ile yenyewe halisi. Si hii ilioingiwa na mikono ya waandishi na kuifanya uongo
 
injili ipi hiyo ya kwenu.Na faiza kasema mnafuata vitabu vinne halafu unaji contradict
 
Naomba unijuzu ktk swala ya msafiri, ww umetoka ugenini unaelekea nyumbani ( maksz yko) ukanuia kukusanya mfano swala ya dhuhur na laswiri ,ukafka ktk wakati wa swala ya al- asri je hzi swala unaziswalije?
 
halafu ili ni darasa la Faiza usipende kurukia gari kwa mbele.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…