Faidika na darasa la FaizaFoxy; Uliza chochote utajibiwa

Faidika na darasa la FaizaFoxy; Uliza chochote utajibiwa

Kwani mara ya kwanza kwa Mbowe kuzuwa? Alisema aa ushahidi wa wao kupigwa mabomu Arusha, mpaka leo imeingia awamu nyingine, hatujauona.

Alisema anarudisha shangingi la KUB kumbe amerudisha la zamni mlango wa mbele akaenda nyuma akatoka na jipya brand new. Alikuwa eti hataki tu kwa kuwa lile lilitumiwa na KUB wa kabla yake.

Sasa kwa hayo, la maboovu hususa, watu wamepoteza maisha huo ushahidi kaukalia tu?

Haaminiki hata chembe.
Hujajibu swali langu unaamini Mbowe anaweza kuongea tuhuma kubwa hizo bila kuwa na ushahidi? Wabunge wa CCM wametoa tamko gani kuhusiana na tuhuma hizo za kuhongwa milioni kila mbunge wapitishe muswada wa habari ambao wameupitisha?
Kuhusu bomu la Soweto Arusha Mbowe alitoa masharti kwa raisi ambaye wakati huo alikuwa Jakaya Mrisho kuunda tume ya majaji ambayo Mbowe angepeleka ushahidi kwenye tume hiyo cha kushangaza mpaka Kikwete ameondoka madarakani hakuunda hiyo tume. Mbowe alisema asingeweza kupeleka ushahidi kwa polisi kwa sababu walikuwa wanahusika kwa namna moja.
 
Hujajibu swali langu unaamini Mbowe anaweza kuongea tuhuma kubwa hizo bila kuwa na ushahidi? Wabunge wa CCM watoe tamko gani kuhusiana na tuhuma hizo za kuhongwa milioni kila mbunge wapitishe muswada wa habari ambao wameupitisha?
Kuhusu bomu la Soweto Arusha Mbowe alitoa masharti kwa raisi ambaye wakati huo alikuwa Jakaya Mrisho kuunda tume ya majaji ambayo Mbowe angepeleka ushahidi kwenye tume hiyo cha kushangaza mpaka Kikwete ameondoka madarakani hakuunda hiyo tume. Mbowe alisema asingeweza kupeleka ushahidi kwa polisi kwa sababu walikuwa wanahusika kwa namna moja.

Nimeshakujibu sasa unataka nijibu utakavyo wewe, majibu yangu ndiyo hayo kama umeridhika nayo ahlan wasahlan na kama hukuridhika nayo ahlan wasahlan.

Si kila jibu litakuwa kwa mtazamo wako, hakuna faida ya kuuliza kama unataka tupange majibu utakavyo wewe.

Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
 
Sina chuki na Joyce Ndalichako bali nnauhakika si kiongozi mzuri, alivurunda kama mkuu wa NECTA mpaka baadhi ya Waislam wa Tanzania wakaandamana kumkataa. Jikumbushe:

DSC08684.jpg
Mna ushahidi kuwa alikuwa anafelisha waislamu?
 
wacha kurukaruka haya hongera kwa kukumjua babaye mamaye na yeye ...............

ila hoja yangu ni kwamba hili swali lilikuwa lake sawa mkuu..............
Mwantumu kwao tanga, faiza kwao mkuranga, ukubaki kuambiwa ukweli usibishe kila kitu. Ulimuuliza faiza hilo swali kuwa yeye ndiye mwantumu mahiza, tunaomjua mwantumu lazma tumsaidie faiza kuwa si yeye, sifa zao ni mbingu na ardhi.

Samahani kama nilikukosea kukujibu mama. Niwie radhi sana
 
Nimeshakujibu sasa unataka nijibu utakavyo wewe,majibu yangu ndiyo hayo kama umeridhika nayo, ahlan wasahlan na kama hukuridhika nayo ahlan wasahlan.

Si kila jibu litakuwa kwa mtazamo wako, hakuna faida ya kuuliza kama unataka tupange majibu utakavyo wewe.

Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
Unaonyesha kupaniki sana kuulizwa kuhusu swala la wabunge wenu kuhongwa milioni 10 kila mbunge wapitishe muswada wa habari ambao wameupitisha najua nagusa maslahi yako kwenye huo mgao mchana mwema kada wa CCM.
 
Porojo za hapa na pale za upinzani zinajulikana, siku hizi ngoma ya ufisadi ime flop?
 
‘’In the perspicuous Arabic tongue.’’2

‘’We sent not a messenger except (to teach) in the language of his (own) people, in order to make (things) clear to them.’’3

The verse above states that our prophet (pbuh) conveyed the message to the Arabs, who were in his own nation, by using their own language.

Because being language of the Quran and the language that our prophet Hz Muhammad spoke is Arabic, the language of Paradise is unmistakably Arabic. Before Hz Adam was sent to earth, he would speak in Arabic while he was in Paradise. And also this is the language that some of the other prophets spoke as well as our prophet

Je Mungu anatoa adhabu mara mbili? Kwa nini Afrika hatukuletewa mtume wetu kwa lugha yetu, Je ni kweli lugha itakayotumika akhera ni Kiarabu ? yangu ni hayo tu Faiza Fox
 
Mwantumu kwao tanga, faiza kwao mkuranga, ukubaki kuambiwa ukweli usibishe kila kitu. Ulimuuliza faiza hilo swali kuwa yeye ndiye mwantumu mahiza, tunaomjua mwantumu lazma tumsaidie faiza kuwa si yeye, sifa zao ni mbingu na ardhi.

Samahani kama nilikukosea kukujibu mama. Niwie radhi sana
Aisee... sasa ndo nimekuelewa manake mjadala wako na Mulhat Mpunga niliukutia katikati kwahiyo nikadhani ni wewe ndie unadai FF ndie Mwantum kwahiyo hana cha digrii wala nini bali diploma!!!! Ahsante kwa ufafanuzi
 
FaizaFoxy Hapa nchini pametokea kudorora sana kwa elimu yetu kuanzia ngazi ya msingi hadi elimu ya juu. Leo hii kijana anayehitimu elimu ya darasa la saba hawezi hata kuandika barua ya kirafiki vijana wanaomaliza elimu ya juu wanaonekana hawana ujuzi ukilinganisha na vyeti vyao. Hili limekuja zaidi miaka kuanzia ya 2000 na kupanda juu
1. Unakubaliana na hili?
2. Nini sababu ya hili
3. Nini mapendekezo yako kunusuru hali hii?

Asante sana.

Naona udini na namna yake umekamta zaidi nafasi katika uzi wako FaizaFoxy bado naomba majibu na maoni yako juu ya swali hili
 
Back
Top Bottom