Faidika na darasa la FaizaFoxy; Uliza chochote utajibiwa

Faidika na darasa la FaizaFoxy; Uliza chochote utajibiwa

Aisee... sasa ndo nimekuelewa manake mjadala wako na Mulhat Mpunga niliukutia katikati kwahiyo nikadhani ni wewe ndie unadai FF ndie Mwantum kwahiyo hana cha digrii wala nini bali diploma!!!! Ahsante kwa ufafanuzi
Hahahahahaha, mkuu chige nashkuru kwa kunielewa, mama yangu mulhat alimuuliza mama yetu faiza yeye ndiye mwantumu mwahiza, mm maadam namfahamu sana mamayangu mahiza nikaona isiwe tabu nimjibu mama mulhat kuwa mwantumu siye huyu mama faiza, mwantumu hakusoma canada those years na lau angelipata hiyo bahati asingeli kuwa mwalimu, mwantumu amepata bahati yakufahamiana na mama salma na familia yake lakini pia mumewe mzee mahiza amehudumu serikalini position ya juu kifogo so system ilimbeba na kujuana pia.
 
Hebu kwanza tujuze, neno "udini" linamaanisha nini?
Udini Mimi natafsiri kama hali ya mtu kuiona dini yake kuwa zaidi ya mwenzake amma kujiona Imani yake ktk dini yake ni halali zaidi ya imaan ya mwingine.......mfano katika Uzi wako huu, pamoja na kuwajibu watu mbalimbali maswali yao, ukawawekea na rejea mbalimbali, bado wengi wameendelea kung'ang'ania Yale wanayoyawaza yawe sahihi..... Mimi ntafsiri hiyo hali kuwa "udini" Asante FaizaFoxy nami umeniuliza swali katika Uzi uliotaka tuulize maswali.
 
Kwa maana hiyo yako sidhani kama kuna udini humu, mimi nnaona kuna maswali ya kidini. Na nnaona kuna wengine mpaka wameshangaa baada ya kuiona mistari ya biblia ambayo inaonesha hawajawahi kuisoma awali, wakafikia hadi kusema, hiyo "mpya" ya "Syria". Inashangaza sana!

Mwengine akafikia hadi kusema hayo ni ya Waislam wakati nime i quote Biblia.

Anyway, wewe una muono wako nami nna muono wangu. Tuendelee.
 
Kwa maana hiyo yako sidhani kama kuna udini humu, mimi nnaona kuna maswali ya kidini. Na nnaona kuna wengine mpaka wameshangaa baada ya kuiona mmistari ya biblia wakafikia hadi kusema, hiyo "mpya" ya "Syria". Inashangaza sana!

Mwengine akafikia hadi kusema hayo ni ya Waislam wakati nime i quote Biblia.

Anyway, wewe una muono wako nami nna muono wangu. Tuendelee.

Asante na nikiri tu kuwa sipo deep sana katika maandiko najifunza mengi katika mijadala kama hii. Najitahidi kufuata links mbalimbali zinazotolewa na hakika najifunza.
 
Tuonyeshe wawekezaji mliokuwa mnawafuata America.

12post.JPG
 
Hahahahahaha, mkuu chige nashkuru kwa kunielewa, mama yangu mulhat alimuuliza mama yetu faiza yeye ndiye mwantumu mwahiza, mm maadam namfahamu sana mamayangu mahiza nikaona isiwe tabu nimjibu mama mulhat kuwa mwantumu siye huyu mama faiza, mwantumu hakusoma canada those years na lau angelipata hiyo bahati asingeli kuwa mwalimu, mwantumu amepata bahati yakufahamiana na mama salma na familia yake lakini pia mumewe mzee mahiza amehudumu serikalini position ya juu kifogo so system ilimbeba na kujuana pia.
No disrespect to Mama Mwantum lakini nilikuwa napata taabu kweli kweli ku-connect dots huku nikijiuliza kimya kimya kwamba "Yaani Mama Mwantum huyu huyu ndo awe FF kweli....!"

Ila nimezi-miss sana pilika pilika za uwajibikaji wake! Inawezekana ni kwavile simfahamu vizuri lakini kwangu nilikuwa namuona ni kama mwanamama anayejituma sana kwenye kutekeleza majukumu yake! Aidha, naikumbuka vizuri siku alipowajia juu watu wenye tabia ya kukimbilia kupiga picha kila zinapotokea ajali ili wawe wa mwanzo kuzituma mitandaoni badala ya kujishughulisha na kusaidia majeruhi! Nakumbuka alikuwa mkali kweli kweli ile siku huku akihoji "...yule aliyepata ajali angekuwa dada yako ungekimbilia kupiga picha na kutuma kwenye mitandao?!" Kwa kumbukumbu zangu, yeye alikuwa ndo kiongozi wa mwanzo wa ngazi za juu kukemea jambo hili wazi wazi enzi zile akiwa RC wa Pwani!!

I miss Mama Mwantum!
 
Huo uchochezi mbona mimi siuoni nnaona makatazo mema kabisa kuwa ukiuwa mtu mmoja basi ni kama umeuwa ulimwangu mzima na ukimponya mmoja ni kama umeponya ulimwengu mzima.

Kipi cha uchochezi hapo?
Nilielewa vibaya nilidhani imesisitiza kuuawa aliye ua!!
 
Nilielewa vibaya nilidhani imesisitiza kuuawa aliye ua!!

Katika hukumu za Kiislam naam, aliyeuwa auawe na anasamehewa na warithi tu wa aliyemuuwa, Wakimsameh basi analipa fidia tu, yanakwisha.

Katika hukumu za kidini hakuna iliyotowa "option" hiyo isipokuwa Uislam peke yake.
 
Back
Top Bottom