Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haya sikupi zawadi jibu lile swali basiSipo JF kwa kutafuta zawadi.
Kwa hiyo hizi aya zina maana gani?Si kweli.
Uislam haufundishi ugaidi wala haufungamani na kundi lolote la kigaidi.
Uislam unafundisha:
Qur'an 5:
32. Kwa sababu ya hayo tuliwaandikia Wana wa Israili ya kwamba aliye muuwa mtu bila ya yeye kuuwa, au kufanya uchafuzi katika nchi, basi ni kama amewauwa watu wote. Na mwenye kumuokoa mtu na mauti ni kama amewaokoa watu wote. Na hakika waliwajia Mitume wetu na hoja zilizo wazi. Kisha wengi katika wao baada ya haya wakawa waharibifu katika nchi.
33.Basi malipo ya wale wanao mpiga vita Mwenyezi Mungu na Mtume wake na wakawania kufanya uchafuzi katika nchi, ni kuuwawa, au kusalibiwa, au kukatwa mikono yao na miguu yao kwa mabadilisho, au kutolewa nchi. Hii ndiyo hizaya yao katika dunia; na katika Akhera watapata adhabu kubwa.
Hizo aya au namba tu?Kwa hiyo hizi aya zina maana gani?
Q9:5 Q47:4
Wanaofanya wafanye wasiofanya wasifanye. Sioni sababu kwanini wanabishana.Vipi msimamo wako kuhusu maulid? Maana kuna watu wanatoka povu hadi kuandaa munaqasha. Mimi sio muisilamu ila huko mitandaoni huwa nashuhudia malumbano si ya kitoto kuhusu maulidi, wengine wakisema ni ushirikina
MaAsha ALLAHNna shahada ya kwanza ya Electronics Engineering, Major in (Tele)communications (Canada, 1982).
Safi sana, hapo ume hakikisha imani ya Kiislam kutokea ndani ya Biblia, kuwa Yesu alitumwa. Siyo Mungu mwingine aliyetumwa bali ni mtoto wa Mungu.Jinsi hii Mungu aliupenda Ulimwengu,Hata akamtuma Mwanae wa pekee,ili kila amwaminiye asipotee bali awe na uzima wa milele(Yohane 3:16-18)
Wewe mwanamke, dini ya Kiislamu haikutambui, soma Tirmid juzuu 1 Hadith 338 inasema Kuna vitu 3 vikipita mbele ya Muislamu anaposwaki vinaweza kukata hiyo sala navyo ni: 1. Punda, 2. Mbwa mweusi, 3. Mwanamke. Hivyo wewe ni nuksi kwa dini ya Kiislamu.
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Qur'an inawausia wale wanaume wanaowadhulumu au kuwadhulumu wanawake:Ingieni Peponi nyinyi na wake zenu kwa furaha. (43:70)
Na anaye fanya mema, na akaamini, akiwa mwanamume au mwanamke, tutamhuisha maisha ya furaha. (16:97)
Enyi mlio amini! Umekatazwa
kuwarithisha wanawake kinyume na matakwa yao.
Wala usiwatendee kwa ukali.
ili mchukue sehemu ya mahari
umewapa - isipokuwa wakati
wamekuwa na hatia ya uasherati wa wazi.
Kinyume chake ishi nao
kwa msingi wa wema na usawa.
Ikiwa unachukia kwao,
inaweza kuwa hupendi kitu
na Mwenyezi Mungu ataleta kupitia humo
mengi mazuri. (4:19)
Wa Alaikum salaam. sijawahi kusikia hilo, sina ujuzi huo. Nami ntaendelea kuulizia, In shaa Allah nikipata jibu ntarudi kukufahamisha.Assalaam Alaykum Warahmatullah Wabarakatuh Da Faiza.
Swali langu nilisikia kuwa kuna dua ukiomba wakati unachimba kisima basi maji hutoka ya baridi yasiyo na chumvi je unaifahamu dua hiyo?
Naomba kuifahamu pia. Natanguliza shukran
InshaA ALLAH.Wa Alaikum salaam. sijawahi kusikia hilo, sina ujuzi huo. Nami ntaendelea kuulizia, In shaa Allah nikipata jibu ntarudi kukufahamisha.
Nawas ibn Dawas (abuu hurries) mnamuita baba wa mapaka aliwazaa nyau??
Adija unamuita mama wa waumini amewazaa??
Sent from my vivo Y67 using JamiiForums mobile app
Kuna binti hapa ananiambia eti amekua kwenye mahusiano kwa mwaka mzima ila kwa kipindi.chote hicho jamaa hajawahi kumkojoza hata mara moja.
Anadai genye za muda mrefu zimesababisha awe frustrated ila anaogopa kwa vile anampenda mtu wake anaogopa akimwambia atajisikia vibaya hasa ukizingatia jamaa anadai ex galfriend wake alikua akimtangaza kuwa ni mwanaume suruali.
Binti anadai hataki kumuumiza jamaa kama alivyoumizwa na ex galfriend ila anatamani jamaa ajue ila hajui amjuze vipi bila kuumiza hisia za kipenzi chake.
Wakuu mie nimeshindwa cha kushauri naomba mnisaidie
Asante sana kwa kujali Faiza.Nimeambiwa nikujibu swali hilo, nimekuleta huku kwenye uzi wangu.
Ningefurahi sana kulijibu hili swali ingekuwa huyo binti yupo kwenye ndoa na mumewe.
Ni mambo madogo sana hayo lakini yanaweza kuwa chachu ya ndoa.
Nawashauri waache uasherati, waowane kwanza, halafu kama bado tatizo linaendelea tutajitahidi liwaondokee. Wanasema "it takes two to tango".
Hassan zuberi mutalemwa, miaka 34AlhamduliLlah nnao wengi tu, haya tuyajenge. Anza kwa kunijibu maswali yangu:
1) Unaitwa nani?
2) Una umri gani?
Mengine baada ya kujibu hayo.