Abu Ubaidah Commando
JF-Expert Member
- Sep 8, 2016
- 7,591
- 6,946
Haijulikani inakuwaje katika timu zao zote yenyewe ipo inawawalilisha klabu bingwa?
Upuuzi mtupu, ayaa sherekeheni leo angalau azam kashinda maana ilikiwa kila timu mnayoishangilia dhidinya simba inapigwa.
Mlianza na Mbabane, mkasema Nkana, mkasema waarabu sasa ni al ahly, sawa.Nyie subirini al ahali awatwange ndio mcheke vizuri
[emoji38] [emoji38] Leo simba wanaijadili Yanga princessWrite your reply...ASANTE AZAM KWA KUMNYAMAZISHA SIMBA WA MABOX
Mlianza na Mbabane, mkasema Nkana, mkasema waarabu sasa ni al ahly, sawa.
kama ambavyo azam wamewaonea watotoWana kikosi kipana na wanaweza kucheza kila siku. Jana waliwaonea Waarabu wale waliotoka Pemba.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hiyo hii ndio faraja yenu. By the way mganga wenu wa sasa hawafai kabisa maana mkishinda match na Timu ya Nje match muhimu za ndani zinazofuata mnafungwa. Mlimfunga Nkana baadae mkaja kucheza na combine ya Kigoma mkala 3,Jana mmemfunga Mwarabu wa Pemba Leo mmechezea kichapo kutoka kwa Azam.D
Simba Queen 7, Yanga Princes 0
KabakwaSamahan Ndugu Wajumbe kwa kuchelewa, eti SIMBA kaliwa kiboga huko Pemba??
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata yule dogo wa Japan aliyedundwa na Mayweather nae aliondoka na kitita cha pesa!Yanga msisahau kua mlikuwepo kwenye haya mashindano na hamjaambulia chochote afu simba tumeondka na M10
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu hapa ulikuwa una maana gani?Mlianza na Mbabane, mkasema Nkana, mkasema waarabu sasa ni al ahly, sawa.
Sema Akya Mungu! π€£π€£π€£π€£
Vp matokeo ya jana?Mpira umeisha na milioni zetu 10 tushachukua
2 - 1Jamani tupeane updates...
Ngapi hukoo?
ππππUpdates, mtanange ndio unaanza
Hahahaaa. Mbona mnajihami?Ngoja waje utakoma!
Leo hawaongei yaani. Comments zao fupi fupi tu. π€£π€£π€£π€£
MmmhLisha ya kuchezesha idadi kubwa vijana timu ya Simba imeweza kuwabana vilivyo timu ya Azam iliyo na kikosi kamili katika mchezo wa fainali na Azam kupata ushindi mwembamba ya goli 2 kwa 1
Magoli ya Azam yakufungwa na mudathir Yahya na Obrey Chirwa huku la Simba likifungwa na Yusuph Mlipili
Hongereni vujana wa Simba mmejitaidi na hongera pia kwa ubingwa Azam FC
Sent using Jamii Forums mobile app
π€£π€£π€£ Noma sana.Vyura bana...mmejitokeza kutoka mlikokuwa mmejifichaπππππ...sisi tumerudi na milioni kumi...vyura mmerudi na nini??
π€£π€£π€£ mambo hayakuwa mambo. π€£π€£π€£π€£Mbona umeishia hapo kutuapudeti Mkuu
AiseeeeYes We Can, tunapambania Champions League.