Fainali Mapinduzi Cup 2019: Azam FC 2 - 1 Simba SC

Fainali Mapinduzi Cup 2019: Azam FC 2 - 1 Simba SC

D

Simba Queen 7, Yanga Princes 0
Kwa hiyo hii ndio faraja yenu. By the way mganga wenu wa sasa hawafai kabisa maana mkishinda match na Timu ya Nje match muhimu za ndani zinazofuata mnafungwa. Mlimfunga Nkana baadae mkaja kucheza na combine ya Kigoma mkala 3,Jana mmemfunga Mwarabu wa Pemba Leo mmechezea kichapo kutoka kwa Azam.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lisha ya kuchezesha idadi kubwa vijana timu ya Simba imeweza kuwabana vilivyo timu ya Azam iliyo na kikosi kamili katika mchezo wa fainali na Azam kupata ushindi mwembamba ya goli 2 kwa 1
Magoli ya Azam yakufungwa na mudathir Yahya na Obrey Chirwa huku la Simba likifungwa na Yusuph Mlipili
Hongereni vujana wa Simba mmejitaidi na hongera pia kwa ubingwa Azam FC

Sent using Jamii Forums mobile app
Mmmh
 
Back
Top Bottom