Unadhani ni rahisi? Ukizaa na mtu jua ni muunganiko wa milele! Sie wetu wapo 18 lakini cha moto hadi Golgotha! Usicheze na mwanamke, ukimuacha wewe na ukawa umezaa naye, unalo! Mtoto anakuwa ni fimbo ya kukuchapia.Sishabikii wanaume wasiowajibika kwa mtoto/watoto wao lkn kwa kesi ya Sugu nauona ugumu ulipo, mtoto si kafika umri wa kuweza kuhamia kwa baba yake bora Sugu amchukue hizi kelele zipungue.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahiyo na ww unaamini hivyo?Faiza hataki pesa za Sugu kwa maelezo yake bali mtoto wake Sacha anamsumbua kutaka kuzungumza na baba yake na kilio juu Sugu kagoma kuzungumza na mtoto.
Utadeal naye kwa njia gani bila kuwasiliana na mama wa mtoto?Nisingehangaika na hiyo fululu ningedeal na mwanangu tu
Alionyesha uchi laivu akifyatua mtoto?Hivi mtu anaepost akizaa utasema ni mzima kweli
Ni bahati mbaya sana kwa Sugu kuzaa na huyu mama.View attachment 2444126
Wana jukwaa hivi hapa anaejuta kuzaa na mwenzie ni nani kati ya Faiza na Sugu?
Faiza ana mtusi matusi makubwa sijui kama anajenga kwakweli, pia mwanaume kama ni kweli hamjali mtoto kwa lolote anafanya vibaya sanaa.
Hivi Faiza kama sio takataka ni kitu gani.Acha kumwita binadamu takataka, tako ka la kunguru[emoji57][emoji57][emoji57]
Faiza Nina hakika wanaume wanamkimbia na kumkwepa.Hata mimi nahisi
Vitu kama hujui uwe unakaa kimyaMfano wewe ndio Sugu je ungelipisa kisasi kwa njia ipi ili kumkomoa mzazi mwenzio?
Huyu mwanamke ni kati ya wanawake wajinga kabisa kuwahi kutokea duniani, sijui Sugu alikutana nae wapiView attachment 2444126
Wana jukwaa hivi hapa anaejuta kuzaa na mwenzie ni nani kati ya Faiza na Sugu?
Faiza ana mtusi matusi makubwa sijui kama anajenga kwakweli, pia mwanaume kama ni kweli hamjali mtoto kwa lolote anafanya vibaya sanaa.
Kwa akili za Faiza Sugu yupo sahihi kujiweka mbali nae, its not easy kudeal na mwanamke kama FaizaAnapoharibu ni kuweka haya mambo kwny mitandao nadhani baadae Sasha akikua yatamuathiri kisaikolojia...maybe ni kweli anapitia kipindi kigumu ila nadhani angeyatatua privately
Hawa watu waliachana kimya kimya, no dramaZamani mno
Hawa watu waliachana kimya kimya, no drama
Heeh kumbe kulikuwa na dramaDrama zilikuwepo sema watu walimuwahi frola either kwa ushauri au kumuibia account akaacha kupost anavyojuta kuolewa na hbaba
Heeh kumbe kulikuwa na drama
...dada wa watu alibadilishaga hadi dini akawa muislamu,