Faiza Ally amjia juu mzazi mwenzie Sugu na anajuta kuzaa nae

Faiza Ally amjia juu mzazi mwenzie Sugu na anajuta kuzaa nae

Kuna watu huwa wanaanza tu matusi hawa ndio nawashangaa, hajachokozwa popote ila ni matusi kwa kwenda mbele.

Sent using Jamii Forums mobile app
Halafu ndio hao wakumlaumu faiza,kumbe wote Wana matatizo ya kisaikolojia..mwanadamu timamu hawezi kutukana matusi Hovyo Tena kutukana mzazi wa mwenzake,it's totally insane
Nyani haoni .....
 
Nimekuwa na mwanamke mmoja mke wa jamaa. Yaani alinianza mwenyewe sikuwa na time naye, baadae huruma na utu ukanishika, Kwa kuwa tunatoka Kwa siri na tunakwenda mitoko mbali, anadai moment kama hizo hazipati Kwa Mr ake.

Sasa nikajiuliza kwann hamuambii! Na mnalala pamoja, anadai anapigwa, matunzi ya familia anafanya yeye asilimia kubwa. Kama sio yote.

wanawakeni viumbe hatari sana. Na hizi Siri nyingine unazimwagia kwangu kwa nini. Hawa kina Faiza ni wengi Sana. Mpenz mwanajf hata mama J anakuongelea kwa mchepuko wake. Siri na madhaifu yako yanamwagwa huko.

Huyu mwanamke asiye na haya, anaona leo hafikirii kesho. Anadhalilisha familia yake, anadhalilisha wanae, unamkunja, mnambidua,unamgeuza,unachuchumaza,unamfanyia hardcore na siri za ndani magonjwa ya mumewe na udhaifu wa kushindwa kuchakata akakuropokea.

Ndugu zangu.
Kesho asubuhi atakukana. Hapo ameshamaliza kudanga. Na ukiwa unahamu ya kupeleka moto usithubutu kumtafuta umalizie genye zako kwake,lol unajionea naibu. Atakukana kweupeeee. Wake za watu hao. Madanga hayo ndio yalivyo.

Subiri mitandaoni humo atakuanika, Kwa mashoga zake atakuanika.
NB
Wanaume tuoe tu na tukae kinywa.
 
Back
Top Bottom