Faiza Ally amjia juu mzazi mwenzie Sugu na anajuta kuzaa nae

Faiza Ally amjia juu mzazi mwenzie Sugu na anajuta kuzaa nae

[emoji3591]Je kama kweli mtoto anam miss baba na upendo wa baba hauoni??
[emoji3591]Je kama ni kweli baba hamtunzi mtoto?

Kinacho mponza faiza sio wale wanawake wa kufa na tai shingoni kama walivyo wengi.....ndio mana kutwa kucha anatukanwa lkn haachi maana ndivyo alivyo...... Kuna siku ataeleweka.
-Je kama yote hayo si kweli na kama ukweli ni kuwa Sugu ame-move on wakati huyo bipolar bado analihitaji penzi la Sugu?
-Je kama ni kwamba anamtumia mtoto kama silaha ya kum-frustrate Sugu kwa kuwa hajaukubali ukweli wa kwamba mahusiono waliyokuwa nayo yamebaki kuwa historia tu?

-Huyo chizi mwenyewe huwa anadai hataki mtoto wake aende kwa Sugu kwamba eti watoto wa Sugu wana sura mbaya watamtisha mwanae. Who is to blame there?
 
Ugomvi wao tuwaachie wenyewe.... Sijui ni upande upi lakini kuna tatizo mahali.... siku hilo tatizo likiwa wazi wengi tutashangaa....... Faiza sio chizi tatizo lake ni uwazi tu.
 
Had mie, nachompendea hana woga wala hofu, afu anaongea ukweli, hana drama za kujifichaa, yuko real kwa kifupi.
Hapa ndo wengi wanako tofautiana nae.... Kuna anaejifanya mtu wa watu... huyo siku watu wakimfahamu vizuri watabaki midomo wazi
 
Huyo mtoto mwingine hamzungumzii kwa kuwa kazaa na mtu ambaye si popular, publicity anaipata kwa kumshambulia Sugu na hajakubali ku-move on plus alikuwa akidai(back in the day) kwamba Sugu alikuwa akimla [emoji872] nadhani anaamini kwa kumtunukia kule hakupaswa kuachwa licha ya matatizo yake yasiyovumilika.
Honestly Faiza anahitaji matibabu.....sad anaharibu future ya mtoto asiye na hatia
 
sio kila sehemu unaacha mbegu zako,kuna sehemu siyo kabisa
naendelea kusisitiza matumizi mazuri ya condom na njia zingine za uzazi wa mpango,kama mwanaume unaona hii inamuhusu mwanamke subiri yakukute ndo utajua

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ugomvi wao tuwaachie wenyewe.... Sijui ni upande upi lakini kuna tatizo mahali.... siku hilo tatizo likiwa wazi wengi tutashangaa....... Faiza sio chizi tatizo lake ni uwazi tu.
Faiza ni chizi through and through, bipolar anayehitaji dosage on daily basis.
Ok kama si chizi sasa chizi ni nani kati yao wawili mpaka hiyo mizengwe inaendelea kuibuka kila uchwao.
 
Mr2 a.k.a sugu,2proud,taita hapo alingia chaka kwa kutembea na chizi huyo bibie ni mwendawazimu kabisa yani hata ingelikua ni mimi sitokua tayari kuhudumia mtoto wa kichaa kwa maana nitakuza kichaa mwingine tena na humu JF wapo mabinti wenye tabia kama za huyo kichaa mwenzao yani wale wakujiona wanathamani sana kupitiliza, wanaume inabidi tujuhadhari sana kuwaepuka hawa mapema sababu siku hizi wamekua wengi mno kwenye jamii yetu.

Kwa ufupi huyo chizi apambane na hali yake na uzao wake mwenyewe atemane na jamaa kwani hamuhitaji tena hata akijaribu kutafuta attentions kupitia vichaa wenzie ilionekane anaonewa au ananyanyasika kupitia hako katoto hana thamani tena yeye wala uzao wake.
 
Back
Top Bottom