To yeye
JF-Expert Member
- Oct 4, 2022
- 35,686
- 86,968
Chagua mmoja bhana....hutotuweza wote
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chagua mmoja bhana....hutotuweza wote
Fahari ya macho tuChagua mmoja bhana....hutotuweza wote
-Je kama yote hayo si kweli na kama ukweli ni kuwa Sugu ame-move on wakati huyo bipolar bado analihitaji penzi la Sugu?[emoji3591]Je kama kweli mtoto anam miss baba na upendo wa baba hauoni??
[emoji3591]Je kama ni kweli baba hamtunzi mtoto?
Kinacho mponza faiza sio wale wanawake wa kufa na tai shingoni kama walivyo wengi.....ndio mana kutwa kucha anatukanwa lkn haachi maana ndivyo alivyo...... Kuna siku ataeleweka.
Ndicho ninachompendea. Halafu siku hizi ameacha kulia lia, hiyo post ni muda kidogo na alishasema hatalia tena.Had mie, nachompendea hana woga wala hofu, afu anaongea ukweli, hana drama za kujifichaa, yuko real kwa kifupi.
Naomba namimi nile unakulaje pekeako naweee!!
Vizuri😃
Ugomvi wao tuwaachie wenyewe.... Sijui ni upande upi lakini kuna tatizo mahali.... siku hilo tatizo likiwa wazi wengi tutashangaa....... Faiza sio chizi tatizo lake ni uwazi tu.-Je kama yote hayo si kweli na kama ukweli ni kuwa Sugu ame-move on wakati huyo bipolar bado analihitaji penzi la Sugu?
-Je kama ni kwamba anamtumia mtoto kama silaha ya kum-frustrate Sugu kwa kuwa hajaukubali ukweli wa kwamba mahusiono waliyokuwa nayo yamebaki kuwa historia tu?
-Huyo chizi mwenyewe huwa anadai hataki mtoto wake aende kwa Sugu kwamba eti watoto wa Sugu wana sura mbaya watamtisha mwanae. Who is to blame there?
Hapa ndo wengi wanako tofautiana nae.... Kuna anaejifanya mtu wa watu... huyo siku watu wakimfahamu vizuri watabaki midomo waziHad mie, nachompendea hana woga wala hofu, afu anaongea ukweli, hana drama za kujifichaa, yuko real kwa kifupi.
kwa aina hii ya mwanamke hata umpe mbingu na dunia bado atataka roho yako na bado hata achukue roho stil ataona hajaridhika!!pia mwanaume kama ni kweli hamjali mtoto kwa lolote anafanya vibaya sanaa.
Honestly Faiza anahitaji matibabu.....sad anaharibu future ya mtoto asiye na hatiaHuyo mtoto mwingine hamzungumzii kwa kuwa kazaa na mtu ambaye si popular, publicity anaipata kwa kumshambulia Sugu na hajakubali ku-move on plus alikuwa akidai(back in the day) kwamba Sugu alikuwa akimla [emoji872] nadhani anaamini kwa kumtunukia kule hakupaswa kuachwa licha ya matatizo yake yasiyovumilika.
Mwehu weweNaomba namimi nile unakulaje pekeako naweee!!
Hivi unajijua kuwa una matatizo ya ProblemVizuri😃
Faiza ni chizi through and through, bipolar anayehitaji dosage on daily basis.Ugomvi wao tuwaachie wenyewe.... Sijui ni upande upi lakini kuna tatizo mahali.... siku hilo tatizo likiwa wazi wengi tutashangaa....... Faiza sio chizi tatizo lake ni uwazi tu.
Ndo nimejua sasa hiviHivi unajijua kuwa una matatizo ya Problem
[emoji23][emoji23][emoji23]Muongo buana, babake lee angekuwa mtamu asingempotezea. Atakuwa apeche alolo abachada [emoji23][emoji23][emoji23]
weka hata katoto kamoja kwa mama J alafu ulete mrejeshoKwan faiza alizaa na sugu watoto 2 ?