Faiza Ally (Ex wa Sugu) na battle isiyoisha kwa Mke wa Sugu

In Sasha's voice " Dad...
I have only one mother and is Faiza Ally here, she should get to know that"
Mrs Happiness Mbilinyi nimempenda kwa kweli; akamkaririshe mtoto hadi BBC ila picha haijafutwa.

Yule anajichetuaga, siku Ile anauza masufuria yake eti wimbo wa Sugu ndiyo wa kutangazia biashara yake; si alikuwa anawachokonoa makusudi? Wenzie wakimbipu tu kidogo ashadata
 
In Sasha's voice " Dad...
I have only one mother and is Faiza Ally here, she should get to know that"
Faiza hakubaliani na ukweli, na hapo hajawai kuwa na mahusiano ya furaha inaonekana ndo maana anaangaika na familia ya sugu analazimisha ubaya kati ya mtoto na step mom ake, ukijiuliza ni kwamba bado anaitaji iyo nafasi ya happy? Na kama hataki happy kuwa mke wa sugu anataka mama ake ndo aolewe na sugu ndo atakuwa na amani
 
HUYU DADA KAACHWA KAMA MIAKA KUMI SASA IMEPITA ILA BADO TU..
AKIENDELEA MIAKA ISHIRINI IKATIMIA AJENGEWE SANAMU LAKE MAKUMBUSHO
...NA AINGIZWE KWENYE REKODI YA MWANAMKE ALIEKATAA KUACHIKA KWA MDA MREFU ZAIDI
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
Umamaliza mkuu. Umegusa kila kipengele. Sugu anajuta sana kuzaa na huyu manzi
 
Faiza ataingia kaburini akiwa na stress za familia ya sugu
 
Mawifi wa siku hizi mnanunulika vizuri tu kwa vizawadi na tigo pesa.
ahahahahhahahahha dah!
Guilty as charged.
Hata sio kununulika , kuna vitu nilikuwa nachukulia poa sana kwenye mahusiano ya mdogo wangu!
yamekuja kumcost mno.
Najilaumu sana at some point!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…