Faiza Ally (Ex wa Sugu) na battle isiyoisha kwa Mke wa Sugu

Faiza Ally (Ex wa Sugu) na battle isiyoisha kwa Mke wa Sugu

In Sasha's voice " Dad...
I have only one mother and is Faiza Ally here, she should get to know that"
Mrs Happiness Mbilinyi nimempenda kwa kweli; akamkaririshe mtoto hadi BBC ila picha haijafutwa.

Yule anajichetuaga, siku Ile anauza masufuria yake eti wimbo wa Sugu ndiyo wa kutangazia biashara yake; si alikuwa anawachokonoa makusudi? Wenzie wakimbipu tu kidogo ashadata
 
In Sasha's voice " Dad...
I have only one mother and is Faiza Ally here, she should get to know that"
Faiza hakubaliani na ukweli, na hapo hajawai kuwa na mahusiano ya furaha inaonekana ndo maana anaangaika na familia ya sugu analazimisha ubaya kati ya mtoto na step mom ake, ukijiuliza ni kwamba bado anaitaji iyo nafasi ya happy? Na kama hataki happy kuwa mke wa sugu anataka mama ake ndo aolewe na sugu ndo atakuwa na amani
 
HUYU DADA KAACHWA KAMA MIAKA KUMI SASA IMEPITA ILA BADO TU..
AKIENDELEA MIAKA ISHIRINI IKATIMIA AJENGEWE SANAMU LAKE MAKUMBUSHO
...NA AINGIZWE KWENYE REKODI YA MWANAMKE ALIEKATAA KUACHIKA KWA MDA MREFU ZAIDI
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
faiza ni mwehu,haijalishi Happy anampenda mtoto au hampendi ,maana Sugu anampenda mwanawe inatosha,kuna kipindi wanaharakati feki enzi hizo kina Martha Mlata mbunge viti maalum aliingilia ugomvi wa Sugu na faiza naona kwa Sasa anajutaa niliwaona wapuuzi wa Hali ya juu,Leo anatoa mitusi mizito mizito kisa tu mwanawe kapostiwa,vitu vidogo mnooo yeye anamind ,faiza angetaka kumuumiza Happy angekua anamkalia kimya tuu.

Nadhani hakujua kama happy ataolewa na atazaa na Sugu maana ashawahi muita mgumba pia.
Amefanya Sugu ajute kuzaa nae yaani Kama Kuna makosa anayajutia la kwanza hilo
Na kanikera kumuingiza mtoto kwenye maugomvi yao.

Single mamaza wakubali kuachwa,maisha yapo tuu SUGU sio mwanaume pekee Ana mtoto na baba mwingine lakini wa Sugu ndo anakoma matusi
Umamaliza mkuu. Umegusa kila kipengele. Sugu anajuta sana kuzaa na huyu manzi
 
Si amesema eti juzi kwenye event Mrs Mbilinyi alimsukuma mtoto akadondoka na bado akawa anamlazimisha akalale naye. Sasha asukumwe adondoke afu Faiza asipandwe na kichaa hehehe.

Anakapandikiza sumu kale katoto, ila kale katoto kataishi kwa tabu kwa sababu ya upumbavu wa mama yake.
Faiza ataingia kaburini akiwa na stress za familia ya sugu
 
Mawifi wa siku hizi mnanunulika vizuri tu kwa vizawadi na tigo pesa.
ahahahahhahahahha dah!
Guilty as charged.
Hata sio kununulika , kuna vitu nilikuwa nachukulia poa sana kwenye mahusiano ya mdogo wangu!
yamekuja kumcost mno.
Najilaumu sana at some point!
 
Back
Top Bottom