Faiza Ally (Ex wa Sugu) na battle isiyoisha kwa Mke wa Sugu

Kwani Kila siku anavyomchambaga Sugu na mkewe huwa wamempost Sasha? Anavyowadhalilisha wale watoto wa kiume wa Happy; wale sio watoto wa Sugu pia, au Sasha ndiyo ana thamani sana? Aisee kwanza Happy ni mvumilivu sana hadi nikawa najiuliza huyu dada ana moyo wa aina gani; miaka na miaka Faiza anamtukana anamnyamazia tu. Kamjibu kidogo tu, kichaa kimempanda. Sugu alishasema mwaka huu anamlinda mkewe dhidi ya cyber bullying. Yale matusi anayomtukanaga Sugu haki angekuwa baba mwingine angepotea tu na kumwachia mtoto.

Sugu moto huohuo; komesha hawa mababy momma wanaofikiri wanaweza kuwa-manipulate baby daddies wao kisa watoto. Ndoa kibao hazina amani na nyingine zinavunjika kisa baby mommas drama. Sugu na Happy wangekuwa legelege wangeshaachana zamani; ila wapo moto chini. Kama ambavyo unataka Sugu amprotect Sasha; vivyohivyo ni wajibu wa Sugu kuwalinda mkewe na watoto wake wa kiume kwa namna yoyote Ile. Ndoa na iheshimiwe na watu wote; ukiachwa achika, ukiacha achilia kweli.
 
Anamuharibia sana yule mtoto na wendawazimu wake. Happy ndiyo mke wa Sugu period
 
Aunt sadaka amsaidie si kasema alimpugia na simu.
 
Reactions: naa
Kabisaa yaani atajiskia vibaya Sana!
Monalisa alivyoachana na George Tyson(Marehemu)nadhani Huyu baba alianza maisha mapya na mke mwingine but we never had anything kuhusu wao!
Faiza nadhani anataka umaarufu kwa nguvu Sana!
Yaani kichaa plus plus
Fanyia marekebisho hapo Mkuu, ama siku nyingine utumie kiswahili tu. Sawa sawa?
 
Daaaah mwamba kama vle umenizungumzia aiseee kumbe wengi sana tunapitia haya.
 
[emoji16][emoji16][emoji16]yaani kingereza Cha intavyuu anatumia kutukana watu wazima!
Itamla hii huyu dogo maisha yake yotee,amechemka mnoo faiza kufanya vile,yaani Sasha akikua atalia Sana,
Yaonekana analishwa maneno mengi Sana huyu mtoto na Mama ake!!
 
Sugu Kuna sehemu ameshindwa kusimama kama father, mtazunguka kote but Sugu angesimama kama baba huu ushenzi ungeisha sio kwa huyo na wala kwa yule,
Sugu ndiye Tatizo hapa..
 
Sugu inaonekana alimfikisha Faiza kilele ambacho ajawah fikishwa mpk leo na mwanaumee yyt ktk mapenzi ,ndio maana ana haha [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kuna ka ukweli hapo yawezekana😂😂😂 mimi mwenyewe kuna bidada nilikuwa namfikisha mpaka sasa amezaa na mwanaume mwingine ila bado ananicheki na anaongea wazi kumiss mambozi na tuliachana kiutata mi nilisafiri VG nje ya nchi nilikaa sana alichukia huyo tukana sana
 
Mkuu tunapitia mengi..mimi wa kwangu kila siku anaibuka na jipya,lawama mtindo mmoja.
 
Sugu Kuna sehemu ameshindwa kusimama kama father, mtazunguka kote but Sugu angesimama kama baba huu ushenzi ungeisha sio kwa huyo na wala kwa yule,
Sugu ndiye Tatizo hapa..
Wapi aliposhindwa kusimama? Nyie mnataka Sugu amuangalie tu Faiza akifanya ujinga wake kisa anampenda bintiye? Na Sugu kipindi kile si alifight sana apewe custody ya mtoto, ila watu wakaingilia kati mtoto akabaki na mama yake? As much as Sasha is important to him; his wife and his boys are very important to him too. Kushindikana kwa mahusiano yao; isiwe sababu ya mke na watoto wake kuumia. Happy na watoto wake hawana hatia, kama ambavyo Sasha hana hatia. Na hata Sugu anaelewa kuwa mkewe ana moyo wa nyama; kashatukanwa tu; wacha na yeye atoe nyongo kidogo. Amevumilia mengi sana tu, kwa sababu ya upendo na heshima kwa mumewe

Happy amekula matusi ya kila aina na anakaa kimya; yaani unataka Sugu aangalie mkewe akilia ndani na watoto wake kutukanwa kisa tu Sasha ajisikie vizuri: hell no. Kuna siku Faiza aliandikaga eti anatamani asikie mama ake Sugu amefariki au hotel yake imeungua. Haya na mama yake na hotel yake walimfanyia kitu gani? Yaani Sugu avumilie yote hayo eti kisa Sasha? Upumbavu wa Faiza, ataulipia yule mtoto wake; unless abadilike though tayari kuna damage imeshatokea. Hata hizo child support anazolalamikia, wakati mwingine ni mdomo wake mchafu ndiyo maana Sugu anakaa tu kimya. Yeye sio wa kwanza kuzaa na huyo mtoto wake ni mtoto tu kama walivyo watoto wengine wa Sugu. Atavuna jeuri yake
 
Hiyo namba 5 ndio niliiwaza sana hivi mwanaume gani atakayemuoa anaona tabia za mwanamke zilivyo mbovu??!!!yaani huyo faiza kwisha habari alee tu watoto labda wa nje ambao hawajui hata kiswahili kidogo anaweza kuwateka🤣🤣🤣🤣🤣
 
Inaonekana huyu dada anaumia sana kuona mwanamke mwenzake kaolewa na mwanaume anayempenda, ndio hiyo ni mental illness kama ulivosema yani.
Ndugu zake wa karibu wangempeleka kanisani akaombewe tu .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…