Faiza Ally: Niffer amepigwa sana na amechukuliwa na ‘watu wasiojulikana’

Mafwele mtekaji
 
Serikali imepiga marufuku JF, kwa nini unaizunguka kuingia humu kwa VPN? Kwa hiyo na wewe unashindana na serikali?
 
Kosa la Nifer kucheza Kala kawimbo wakisema waafrika sio binadamu kamili unaweza kubisha
 
Vale wetu naye awe makini sana.


Mpetde
 
Acheni kujipa umuhimu wa kutoa kushauri ambao hamjaombwa, kwa watu msiowajua, kuhusu mambo msiyowafahamu.

Unamshauri vipi huyo Niffer, mtu ambaye hata hujui vipaumbele vyake katika maisha ni vipi?
 
hii habari kama ni ya kweli inasikitisha sana.

Ila huyu binti kwanini alijiingiza kwenye hizi mambo kichwa kichwa? dah
 
Huenda Niffer na vijana wengine wengi wa umri wake hawajui kuwa kina Mange na Maria wanalipwa mamilioni na mabeberu kwa kazi ovu wanayoifanya ya kuwachonganisha wananchi na serikali.
Wanalipwa ili iweje? Kwamba watanzania hawaoni maovu mpaka watu walipwe kuwaonyesha makosa? Hivi ili kadhia ya mwendokasi au ufisadi wa kutisha unahitaji mange ndio alipwe ili kuchonganisha?

Empty head kabisa.
 
Kwanza kabisa habari ya upagani haihusiki hapa. Hii hoja ni ad hominem logical fallacy.

Pia ni logical non sequitur logical fallacy.

Pili mimi si Mpagani, ila wewe ni mjinga hujui Mpagani ni nani.
Wewe ni mpagani mwandamizi.
 
Niffer ana akili sana yule binti, hawawezi kumuua kwa hilo kosa.

Ila ni move nzuri mno kwake + ni mtoto wa kike.
 
Nyuzi kama hizi japo zinaandikwa ili kuongeza hisia za kundi fulani

Ila kwa kiasi chake zinafanya wengine tukose amani kwa kuamini Jf

Unajua sikudhani nitawahi kuhisi jf ni ya machawa wa silikali Promax wakati najiunga

Ila kwa haya yayoendelea nasikitika kwa niaba yangu mwenye kuwa Sina imani na JF kwa asilimia 75% zilizobaki ni zakufarijiwa
 
Umetoa mfano mmoja wa Elon Musk, vipi kwanini usielezee pia mifano ya Nepal au Madagascar? Yote si mifano hai tu with frfr positive results.
 
Uliombwa uwe na imani na JF?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…