Faiza Ally: Niffer amepigwa sana na amechukuliwa na ‘watu wasiojulikana’

It's about time wasiojulikana wajulikane na Kama sio Polisi bali ni Kazi ya Polisi kuwatafuta hao na kuwashika na kama wameshindwa kazi basi waombe msaada kutoka mataifa ya nje... Nilisema kitambo sana tunahitaji kuangalia tulipopotea njia ili turudi na kutafuta njia ya kwenda pamoja kama Taifa....


 
Huu sasa ni ujinga!

Leo tunaambiwa wanajeshi walikamatwa kwa kuchana mabango yenye picha ya Samia.

Chaula amepotezwa kwa kuchoma picha ya Samia!

Sasa kuwapoteza na kuwateka hawa watu ndio italeta maji safi Kimara?
Your browser is not able to display this video.



Majuzi nimeona clip hapo mjini kabisa Kimara mtu anafungua maji bombani yana tope je hayo sio mambo yenye tija kushughulika na hivyo vya maana wanashughulikia vitu visivyo na tija??
 
Kwani kucheza hile nyimbo ni kosa? Kama hule mlio umezuiliwa mbona hakuna mamlaka yoyote ilitoa tamko kuhusu hiyo? Hawa watu washenzi sana
Yaani inaumiza sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…