FaizaFoxy: Nasaha na Ushauri wa kijamii usio wa kawaida. Nakaribisha maswali

unadhani ni sababu zipi zinachochea wanawake walio olewa hivi sasa, kuwa warahisi mno ukiwatongoza wanakubali bila hiana na kutoka nje ya ndroa zao bila woga 🐒
Umeuliza swali zuri na muhimu sana kwenye jamii. Lina majibu marefu sana, tunaweza kuandika kitabu, kwa kuwa kuna sababu nyingi tofauti tofauti ninazoziona zinaweza kupelekea hayo.

Ntakujibu kwa uchache sana post hii.

Ukikutana na mwanamke namna hiyo, elewanhapo kaolewa jina tu la kuolewa lakini hakuna ndoa hapo.

Sikatai kuwa wa namna uliyowataja wapo, pia wanawake wanaoziheshimu ndoa zao wapo.

Hapo kuna sababu nyingi lakini za msingi ni namna ya ndoa, maana kuna ndoa watu hawawachani hata kama kuna mapungufu ya kwenye ndoa zinaitwa "pingu ya maisha", inabidi mstahamiliane tu mpaka kifo kiwatenganishe. Hizi zipo za kiimani na za kimila. Nazo husababisha uzinzi.

Kuna sababu nyingine ni za kisaikolojia, huwa kuna maridhiano kabisa ya mke na mume, kuna baadhi ya wanaume hupenda kuwa na mwanamke malaya, ndiyo booster yao, kwa hiyo humfundisha na kumzowesha kabisa mkewe ili akafanye nje aje kumuhadithia alivyokutana navyo na alivyovifanya huko ndiyo yeye anapata chaji na hamasa ya kujamiiana huongezeka au hupatikana.

Hii hali wengine hufikia mpaka wengine huwaambia wake zao wakisha jamiiana wabaki na uchafu wa kujamiiana ili aje kuuona.
Ukikutana na mwanamke kama huyo kukubalia ni kama kusukuma mlevi tu.

Sababu zingine ni za mwanamke kutoridhishwa na mumewe.

Na sababu zingine nyingi sana, itabidi nikatize hapa maana hii post itakuwa ndefu sana.

Ukitaka kuzielewa nyingine nistuwe niendelee.
 
Tatizo faiza unalazimisha sana kila mtu afahamu wewe ni mzawa nambari moja wa dar,uzi umejaa dharau,kebehi mara 'wakuja' . Kuna misemo inapita kubaliana na wakati. Uzi mzima utataka kila mmoja afahamu umekulia kariakoo daah
Ndio shida yake hyo kujiona amezaliwa dar wakt hv nasiki amejificha kwa mabeberu huko Canada
 
Asante sana kwa majibu yako mazuri ndungu mkufunzi wa masuala ya mahusiano.
nimefurahishwa na nimeridhika kwa majibu yako mazuri jabo umesema ni kwa uchache tu....

Pamoja na majibu mazuri uliyoyatoa apo juu, ninayo maswali mawili madogo ya nyongeze kama ifuatavyo....

1. Upi ni umri muafaka na sahihi kwa kijana wa kiume kuoa au kama sio kuoa basi kuanza kupata watoto, maana sasa hivi kijana ana miaka 40 and above, hana ndoa, hana mchumba wala mtoto wa kusingiziwa.
Unamshauri nini kijana huyu...

2. Upi ni umri muafaka na sahihi kwa kijana wa kike kuanza kuzaa watoto na kuhitimisha kuzaa watoto katika nyakati hizi za sasa?
Maana apa napo, binti ana miaka 38 hajaolewa, hana mchumba wa uhakika na hana mtoto.
Na miongoni mwao utaskia mimba imeharibika au kila akishika mimba inatoka. Hili husababishwa na nini?

Unawashauri nini vijana wa kike wanakusudia kuwa wazazi siku za usoni....

Asanti ndungu muelimishaji🌹
 
Mleta Uzi mwenyewee Ni mdini aliyeshindikana kwa hyo atulie hvyo hvyo
Kwani kuwa mdini ni dhambi?

Mimi nijuavyo kuwa pagani ndiyo dhambi kwa wenye dini.

KamanUislamnwangu ndiyonudini, itabidi unwell kwenye ignore list yako tu, kwani hutoweza kuninyamazisha kwenye hilo. najivunia kuwa Muislam na kulingania Uislam kumesisitizwa kwenye Uislam.

Uislam wangu mimi, mdini ni mimi, wewe kinakuuma nini kama huna dini?

Tanzania serikali ndiyo ya kipagani ,(tulidanganyw hivyo), haina dini, lakini raia wa Tanzania wengi wetu tuna dini na imani zetu.
 
Tatizo faiza unalazimisha sana kila mtu afahamu wewe ni mzawa nambari moja wa dar,uzi umejaa dharau,kebehi mara 'wakuja' . Kuna misemo inapita kubaliana na wakati. Uzi mzima utataka kila mmoja afahamu umekulia kariakoo daah
Ulitaka nikatae asili yangu?

Hizo "dharau" na "kejeli" ziko wapi? Nukuu. Au zipo kichwani mwako tu?
 
Hahaha..
Kutongozana hadhari ni shida aisee.
Em fungua pm usisumbue wadau bhana
 
Leta maliza hyo chai yako bhna ya bint wa karikoo

Acha kubishna na kujibu Kila kitu
 
Mimi nasisitiza vijana waoane mapema sana kufurahia ndoa yao na kujikinga na majanga ya ujana ya mitaani huko.

Kwa mwanamke na mwanamme kuanzia miaka 18 wakiowana si vibaya.

"The younger the better".

Kupqta watoto Mwenyezi Mungu akiwajaalia msingoje, "immediately" zaeni mzee watoato wenu wawe.marafiki zenu, siyo.mtoto moaka anaona haya akiambiwa, njoo na mzazi wa shuleni, anaona kama anaenda na babu fulani hivi.

Mengine ni maajaliwa lakininvijana fanyeni hima muowane haraka sana. Wachaneni na sqbabu za kusadikika, sijuwi "bado najipanga", sijuwi "bado mambo hayajakamilika". Upuuzi tu huo.
 
Ulizia kama kuna namna ya kupima DNA bila dogo kujua. Waweza kumuathiri kisaikolojia hata kama baada ya mchakato atakutwa ni wa kwako
 
naomba nisaidie hvo vigezo ili na mm nipate hyo furaha nikipata wangu
 
Bila kuwepo wanaume wanaojipeleka kuchunwa hawatakuwapo hao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…