FaizaFoxy: Nasaha na Ushauri wa kijamii usio wa kawaida. Nakaribisha maswali

Porridge break. Nafuatilia uwandishi wako.
Halafu Faiza mbona unajiona mtoto wa mjini Sana?
Siyo "najiona" ndivyo ilivyo, tena "sister do" kweli kweli wa zamani.

AlhamduliLlah, nimezaliwa na kulia New Streert Dar enzi nzuri kabisa. Ndoto zote za "utoto wa mjini" nimezitimiza. Kama kusafiri ndani na nje ya Tanzania ni wachache sana humu wanaoweza kufikia japo robo yake.
 
FaizaFoxy ukimaliza ichi kisa ulicho anza nacho,

Ningependa kusikia upande wa pili wa Maisha Yako ya ndoa,

Mpaka Leo hii kwa ujumla yawezekana tukajifunza mengi kupitia wew.

Shule sikwenda kusomea ujinga
maisha yangu ya ndoa ni very simple.

Uliza chochote upendacho kujuwa. Usingoje story iishe.

Usiulize maswali kibao kama tupo kwenye mtihani wa kusomea ujinga.

Uliza swali moja moja.
 
Achana na DNA mkuu, hiyo bond tu ya miaka yote inatosha kabisa
 
Ya ila kitu
Haupo sahihi kwa upande wa dini ya Kiislam, kaiika Uislam kuna "Nikah au Aqdi ambao ni mkataba (contract) ya ndoa, unaofungwa kwa mliokubaliana (owana) Hauwi wa upande mmoja tu na haukamiliki kuwa ndoa kamili mpaka mkishajamiiana baada ya kuusaini, siyo kabla, kabla ya hapo ni uasherati na au uzinzi.
 
Nakubaliana nawe.

Tumeumbwa kwa njia ya evolution

Inaonekana ndiyo 'janja' ya Mungu kufanya uhai uwepo.

Makusudically ameweka mchakato ndiyo kufikia hatima fulani.

Atakayekataa kuhusu evolution yaani mageuko basi atuambie ni kwa nini anajikubali kuwa yeye ameumbwa na Mungu akiwa hivi sasa ana ndevu/matiti na mwanzo hakuwa nayo? Basi si achukulie kama ambavyo yeye amepitia mabadiliko ya ukuaji kama kiumbe basi akubali na sie tumepitia mabadiliko ya ukuaji kama spishi na kama ufalme eaaaaasy. Na haitabadili ukweli wa kwamba tumeumbwa.

Maisha ni mchakato wa mabadiliko ya kudumu na endelevu
 
Nimehalamishia suala la evolution huku, fata link, hapa siyo sehemu yake:

 
Mimi naamini Quran tu kwenye uislam.... naomba unifafanulie kutumia iyo, hizi zingine naziitaga siasa za dini
 
Uache utoto nchi hii haina dini.

Nakupa nasaha wewe kibibi.
 
Hadi leo mahusiano ni fumba la imani hakuna anaejua mahusiano hususani ya kimapenzi ni nini maana kila alieingia na kutoka analia, alie ndani analia, anaetaka kuongia tena nae analia.
Hili hata lingekuwa janga la kitaifa serikali bado ingeshindwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…