mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 20,704
- 66,337
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaani jinsi unavoona uislamu ni dini ya uongo, na wao wanauona ukristo hivohivo. Mnatakiwa mvumiliane.Wewe unaamini mimi naabudu hadithi?
Nishakwambia Yesu atakujibu, mimi nasubiri mrejesho kutoka kwako.
Kafungue thread yako unipe somo, hii ni ya faiza anatoa ushauri nasaha.Yaani jinsi unavoona uislamu ni dini ya uongo, na wao wanauona ukristo hivohivo. Mnatakiwa mvumiliane.
Unadhani wazazi wako wangekua waislamu ungemjua Yesu? Haya mambo tunarithishwa tu
Na ndio ni hadithi, mungu angekuwepo kusingekua na dini 4000+ na mimi nawavumilia ujue
Yamewakuta.FaizaFoxy humu jukwaani naona sana watu wanasema mwanamke ili afae kwenye ndoa anatakiwa asiwe msomi, au asiwe na kazi/uwezo wa kifedha.
Hili unalichukuliaje?
ebu andika vizur sijakuelewaYamewakuta.
Vigezo vya mke wa kuoa nihivi:
-kwa uzuri wao.
-kwa mali zao.
-kwa nasaba zao.
- kwa dini zao.
Ukaoe n waban I e hananhana japo nusu ya hivyo, unategemea nini?
Ungeuliza swali mojamoja ingekuwa raha sana.Unawasaidiaje wanawake wenzako hawa wanao omba hela sana , chuma ulete, wavaa uchi, wanaotaka mwanaume mwenye hadhi huku yeye hana hadhi na hawa wanaodhurura huku na huko Ili wanawake wenzako walio kwenye makundi haya waache waache tabia zao mbaya na pia wasitishe kwenda kwenye nyumba za ibada kuuziwa maji na mafuta yanayodaiwa ni ya upako kwa lengo la kutaka kutufunga kauli wanaume huku wao wenyewe wakikaidi amri za mwenyezi Mungu kuwa wao ni dhaifu chombo kisicho na nguvu na wapochini ya tawala na miliki ya mwanaume aliye kiongozi mkuu ?
Ndio za kusindikiza storyDah, popcorn za saa mbili asubuhi?
Hahaha😅Utakuwa unaongelea ukristo, maana ndo dini iliyotengenezwa na papa wa kwanza Emperòr Nero ili kutawala vizuri watu wa Dola lake.
Hao kina Paulo Mathayo na Marko ni fake characters tu waliotengenezwa ili kufit narrative yake ya kiutawala.
Ukifuatilia historically hakuna ushahidi hao watu waliwahi kuwepo.
Hata agano jipya waandishi wote hawajulikani ni kina nani kuanzia kina Mathayo,Marko Luka na Yohana.
Hata hayo majina sio halisia sio majina ya watu waliofahamika. Bali ni majina tu yalipachikwa kwenye vitabu from unknown authors.
Hakuna ajuaye viliandikwa na nani isipokuwa kanisa katoliki ambalo limeficha hizo Siri.
Bottom line, Wakristo wanaabudu wásichokijua Kwasababu wamefichwa ukweli wa Kila kitu kuhusu imani Yao.
Ulipotoa uzi wa kushangilia kipindi Hamas wanavamia Israel, wakaua na kuteka raiaKichwa cha habari kinajieleza.
Kuna uzi mmoja leo kuna mdau kanishauri nianzishe uzi wa nasaha na ushauri kuhusu jamii hususan ya mahusiano.
Nimelipenda wazo lake na nimefungua huu uzi ambao utajumuisha nasaha zote za kijamii kadri itavowezekana, uwe kwa vijana, watoto au watu wazima.
Tafadhali tuwe wastahamilivu tusiziwache mada akaanza kushambuliwa mtu yeyote yule. Tunawaomba Moderator s watulinde kwenye hilo.
Nisiwachoshe, tuingie kwenye mada. Nakaribisha maswali. Yatapokosekana maswali ntachochea mada kwa kuwaletea visa vya mahusiano ambavyo kidogo visivyo vya kawaida "twisted".
History books gani? Au bible ndo history book?Do you want to disregard all the history books ili tuu iandane na uongo mnaodanganyana??
History gani unayoijua wewe unayojitamba nayo hapa?
Acha kujichetua wakristo mnamfuata papa ma sio Biblia.
Kama sivyo nionyeshe wapi Biblia inaelezea kuhusu
Kuswali Jumapili,
Kusheherekea Christmas,
Kusheherekea Pasaka,
Kwanza tusiende mbali hivi nani aliyeicompile Biblia? Maana kipindi Cha Yesu hiko kitabu hakikuwepo.
Nakupa hint, jina lake linaanza na Pa na linaishia na Pa
Wew inaonekana ni bingwa wa kuspin na kujisahaulisha bahati mbaya umekutana na mtu mwenye kumbukumbu siachi hata jiwe moja bila kuligeuza.- Kujua na alicompile Biblia takatifu wala siyo tatizo, ujumbe wa Biblia Takatifu unaeleweka ndiyo maana waislamu wote wanaamini katika Torati, Zaburi na Injili na huwa wanaamini Issa ni Yesu lakini hakuna mkristo yoyote duniani anayeamini Yesu ni Issa.
- Haujui ukristo ila unausikia tu ndiyo maana unaona matakwa ya papa ndiyo ndiyo matakwa ya wakristo. Ukristo una misingi yake na kanuni yake, unaweza kuidhihaki Biblia Takatifu utakavyo na hakuna mtu atakayekutupia hata ganda la karanga kwasababu Yesu kristo ndiyo anahukumu. Anachofanya papa ni marakwa yake na watenda dhambi wake. Mungu atamhukumu ndiyo maana huwa hatuna mahakama. Rejea Sodoma na Gomora
- Nioneshe wapi kwenye Biblia wameruhusu ushoga? Nioshe
Hebu niambie hapa Allah alikuwa na nani?
Kuran 15 : 26 " Na tulimuumba mtu kwa udongo unaotoa sauti, unaotokana na matope yaliyo tiwa sura. "
Quran 15 : 26 " We brought man into being out of dry ringing clay which was wrought from black mud "
Nimekujibu kwenye uzi husika, hapa sipo kwake:Ulipotoa uzi wa kushangilia kipindi Hamas wanavamia Israel, wakaua na kuteka raia
Wewe ni hatari sana kwenye jamii ukiwa jukumu hili
👎👎👎👎👎👎👎👎👎👎
Kama aliamua kutoa sadaka kwa kulea kisicho chake aendelee kukaa kwa password, thawabu ataikuta mbinguni, hlo bomu akililipua atalipuka yy nakuapiaWatu wanaachana 50yrs baada ya kugundua usaliti, our brain is so complex mkuu, hapo alipo ana shauku ya kujua kama ni damu yake au sio, kama ni kulea ameshamaliza, na kwa vile ni kitu amekijua kwa miaka mingi, nadhani amejiandaa kwa majibu yoyote.
Shida naiona kwa kijana, ataweza kulibeba? Ndugu yetu kabla ya kufanya maamuzi ni lazima amuweke kijana kwenye consideration.
IssaNdio nani tena huyu?
Kwenye biblia hakuna nabii issa au unamuongelea isaka mtoto wa Ibrahimu?
Tuachane n hiyo maada sio lengo LA uziKwenye biblia hakuna nabii issa au unamuongelea isaka mtoto wa Ibrahimu?