FAKE: Rwanda yawatimua mabalozi wa USA, Belgian,UK & France

Status
Not open for further replies.
Ndugu yake GENTAMYCINE mkurya muyango wa mtwara mpakani na Rusumo...

Huyu ndio simba wa africa... aliweza mugabe, ameweza mseveni na wengine...

Na nijambo la kawaida kufukuza balozi, nazani nchi nyingi zimefanya na rwanda sio wa kwanza, kama nina kumbukumbu sawa ata Tz walisha wahi kufanya
 
Warusi wenyewe kwa asilimia kubwa ni wazungu

Sent from my Infinix X690 using JamiiForums mobile app
 
Sasa kwa nini wasiungane wamuangushe?
 
Sasa kwa nini wasiungane wamuangushe?
Kwasababu hawajawashiana vilivyo, na mzungu ndio anaweka vikwazo.

Ndio sababu marekani hatoki Middle east na hamuachii Ukraine awe sehemu ya Urusii.

Kama isingekuwa ni threat kwake si angeacha tu?
 
Naangalia comment za watu, nimeishia kucheka..Kila MTU anamsifia sentensi ya Kwanza,alafu ya pili anamtabiria kifo..kama Duterte Hadi Leo yupo sembuse Kagame?
 
Huenda kajipanga kuwa karibu na Putin amlinde
 
Kila lenye mwanzo lina mwisho, nae kaula mno inatosha, tangu 1994?

Hao anaowatimua ndiyo waliokuwa wanamlinda na kumpromote ili wagawane rasilimali za DRC, kilichopo ni kwamba wametofautiana kwenye mgao au wamedhulumiana.
 
Hii fake lots of grammatical mistakes na mimi niliingia mkenge
 
Eti Republic of Rwanda, hako ka wilaya tu wangeandika District of Rwanda ingetosha.
 
Uzee umemwingia vibaya sana hichi kibabu!
Milaana ya kutoa watu roho sasa zina mrudi ku dadadeki [emoji38]
 
Sasa kama bado hawajafanya si wameshindwa.. wakiweza ndio wameshinda
Ukikuta mechi iko dakika ya 60 bila bila utahitimisha kuwa wameshindwa kufungana?
Inabidi usubiri 90 ziishe ndio useme statement za hivyo.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…