Johnny Sack
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 8,984
- 19,288
Sio bila bila, west ndio yupo kwenye , control , na hizo dakika 90 zitakuwa lini? Mwisho wa dunia?Ukikuta mechi iko dakika ya 60 bila bila utahitimisha kuwa wameshindwa kufungana?
Inabidi usubiri 90 ziishe ndio useme statement za hivyo.
Yes mwisho wa dunia....Wanaweza kufanya comebackSio bila bila, west ndio yupo kwenye , control , na hizo dakika 90 zitakuwa lini? Mwisho wa dunia?
Don't live in the yesterday fellow. Live in the NOW!Rwanda hawatumii kingereza
Umetaja vyote lakini ukasahau kitu kimoja kwamba;Dola zilizokuwa na uchumi mkubwa zilishasimama nyingi na zikaanguka.
Mchina, Mrusii, Mwafrika na Mwarabu wakiungana WAZUNGU wanaanguka kiuchumi kesho asubuhi.
Kwasababu kwa bahati mbaya au nzuri resources nyingi hazipo kwa wazungu.
Mafuta na gesi vipo kwa warusi na waarabu.
Madini na ardhi vipo kwa waafrika
Viwanda vipo China
wazungu wana nini?
Dah dhambi ya kujidharau ni kubwa sana mbele ya mungu...ni heri udharauliwe mpaka na miti ila sio kujidharau.Umetaja vyote lakini ukasahau kitu kimoja kwamba;
Wazungu Wana AKILI (DEEP THINKING). Wewe endelea kulinga na Hilo Kalio lako kubwa.
Sijaona hila kwenye Page ya PM wao
Kwa kuwa ni wataarabu wataondoka lkn.....Wamefukuzwa Rwanda ndani ya saa 72 wawe wameondoka ndani ya Rwanda wakigoma kuondoka ndani ya mda huo watawafanya nini?! PaKa aache mikwara basi
Lazma waondoke. Unakuta na yeye kashatoa Mabarozi wake ktk hizo NchiWamefukuzwa Rwanda ndani ya saa 72 wawe wameondoka ndani ya Rwanda wakigoma kuondoka ndani ya mda huo watawafanya nini?! PaKa aache mikwara basi
Nmeuliza wakigoma kuondoka PaKa atawafanya nini?!Kwa kuwa ni wataarabu wataondoka lkn.....
PaKa mkorofiLazma waondoke. Unakuta na yeye kashatoa Mabarozi wake ktk hizo Nchi