antanarivo
JF-Expert Member
- Jan 9, 2018
- 450
- 883
Mkuu najua jinsi ya kutafsiri lugha ya maandishi na Hali halisi ila kwanza nikupe pole lakini pia jitahidi kutumia uhalisia ili Kama mtu kukusaidia Basi asiwe na shaka huenda unaongea ukweli Ila hivi vifuatavyo havipo sawa yaani umedanganyaHabari wana JF,
Mie kijana wa kiume, naishi Dodoma! Nina mke na mtoto mchanga wa miezi 4. Kitaalum ni muhitimu wa Bachelor ya Computer Science, na nilikuwa nimeajiriwa sehem lkn tulipunguzwa kipindi kile janga la corona limepamba moto.
1. Unasema huna hata Mia na mmelala njaa daa kijana mwogope mungu aisee hapa umeongopa na najua unaelewa namaanisha nini Ila kwa haraka haraka umeona Bora vocha kuliko kumlisha mtoto
2 . Unaposema huna hata 100 harafu muda huohuo una pc na unakuja kutufunga midomo kuwa unaiuza huku ukiwa huna lengo la kuuza ,maana Kama ungekuwa na lengo la kuuza ungeleta bandiko la kuuza hio pc ili utatue shida kuna rafiki angu aliwahi nambia kuwa napitia kipindi kigumu Sana haijawahi kutokea muda huohuo ana simu mbili smart na pc mpya kabisa alafu anadai sometimes analala njaa
3. Kama ushauri nakuambia Kama huna kazi dodoma sio sehemu sahihi ya kuishi uza pc hio nenda mkoa wowote Kama songea,morogoro,mbeya na mikoa ambayo Ina uhakika wa kula sio Dom Wala dar
Mwisho pitia huu Uzi hapa soma na comment
Nimeyakumbuka maisha yangu ya uyatima; Uyatima ni noma sana ndugu zangu
Mungu akufanikishe hitaji lako utafanikiwa..Mimi nillimchukua mtoto wa marehemu mpangaji wetu,aliacha watoto wawili wakike na wakiume!alikua std 5 huyu wa kike!baba na mama ake walichana b4 hajafa,alivyokufa wakahama siku moja nkapigiwa simu kua madogo hawaendi shule hakuna wa kuwasomesha...