Nashukuru kwa maoni yako, siwezi kukuzuia kuandika fikra zako,kuna watu katika maisha yao hawajawahi pitia hali hii,lkn waliopitia wanaelewa namaanisha nn!Namuogopa sana Mungu,Mimi ni mkristo mzuri tu hata kanisani kwangu hapa Anglican Dodoma hadi wachungaji wanajua hali yangu na familia yangu,sio mara moja tumelala njaa na nilichoandika sijaongopa kama unavyodhani Mungu shahidi yangu,nilikopa Voda Songesha nikaunga kifurushi wala sikutoa hela mfukoni,imani tu iliniingia kuwa naweza pata sapoti/mawazo hapa JF, nikasongesha na kupost issue yangu,nashukuru wapo walioguswa wamenisapoti,laptop kuna waloihitaji humu humu ni nishaongea nao PM sijui ndugu ulitaka nitangaze vipi zaid,lkn pia kuna ambao wamenipigia niwatumie cv na vyeti vyangu na kwa sapoti nilopata nimeweza tuma,hapa nipo kwenye dilema sasa nadaiwa rent haswaa ndio nataka niuze laptop maana sina amani muda wowote naweza tolewa hapa ndani,lkn kuna wana JF nimetuma cv naweza pata kazi,nikiuza laptop napataje mawasiliano ya email nimewatumia au ndio itabid niwe naenda cafe,simu natumia kitochi KXD.Je Mikoa hyo nikienda ndio kuna unafuu wa kazi,maisha au?ugenini pia kuna gharama za kuhama,settlement,au naenda mwenyewe niache familia then nalipa rent huku na huku?Nashukuru lkn kwa ushauri wako ila usijaji mtu kwa past experience ya huyo rafiki,Mungu wangu wa sirini ndio anajua niliongea ukweli!