Familia nyingine ni za ajabu sana

At least wewe ndio umetoa ushauri uliokomaa hawa wajinga wengine vichwa butu wanashauri kimemhuko wanafikiri kila mtu akiamka anagonga yai na Mkate anaupaka Blueband kumbe wengine wakiamka hawajui hata watakula nini
 
True
 
Kweli na hakika
 
Nyinyi ni kabila Gani?
 
Kabisa mkuu.
 
Na wewe zero mwingine

Mchukue bi Mkubwa wako mwambie unamuondoa kwenye nyumba yake unamleta Dar uishi nae kwenye chumba chako kimoja cha kupanga uswahilini alafu msikilize anakwambia nini
Na hao sister zake atawapeleka wapi
 
Kama kuna uwezekano, mchukueni bi Mkubwa muishi nae alaf nyumba pangisheni. Haya majamaa yaachieni chumba kimoja.

Hakikisheni hati na documents muhimu za nyumba mnazitoa hapo home. Baada ya hapo, hakuna tena sababu ya kuwatumia hela ya matumizi
Nakazia hapa.
Hao kaka zako wakibaki peke yao akili zitawakaa sawa otherwise wanataka kuwa mashoga (walelewe)
 
Mchukueni mama wabaki alone hao wahuni
 
Wamama wana tabia ya kupenda watoto wao ambao ni hamnazo
Wewe unaweza ukamtupa mtoto wako chooni au jalalani Ila ulimchomoa kwa uchungu mkubwa na makelele mengi kule leba unaweza kumtupa kwenye shimo la taka au mtaloni una uwezo huo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…