Usiombe kuna wale wazazi wao walitengana na huko walipoenda kuoa na kuolewa familia zao zikavunjika na wengi wazee ,unakuwa unahudumia pande mbili huku na huku na kila mzazi ana mahitaji yake.
Kumbukumbu labda uliachwa upande mmoja ukapata madhila hapa duniani katika mqkuzi yako ,unapokuwa wale wazazi unatakiwa kuwasaidia kwa pamoja whilst ulikuwa unalelewa upande mmoja.
Ukianza tu kazi inawezekana hata mzazi mmoja zaidi ya miaka 10 hajui wewe unakula nn ila ukifanikiwa unatakiwa umjengee nyumba .[emoji28]