Lethergo
JF-Expert Member
- Aug 7, 2023
- 6,534
- 11,421
Kuna wajinga ukiwaambia hivyo hawakuelewi wanakuona km Zuzu tuMama wa miaka 60+ nakuja kukaa nae dar tena kwenye nyumba za kupanga uswazi na sijaoa uwongo kaka
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna wajinga ukiwaambia hivyo hawakuelewi wanakuona km Zuzu tuMama wa miaka 60+ nakuja kukaa nae dar tena kwenye nyumba za kupanga uswazi na sijaoa uwongo kaka
Wapo watakaokuona Zuzu eti mlete bimkubwa mpangishie chumba na yeye qummke kuna watu wanachukulia mambo rahisi rahisi tu kisa wanazishika elfu 10 10 bila kutumia nguvu zozoteSiwezi kuja kuishi na bi mkubwa mwenye miaka 60+ tena dar uswahilini kwenye nyumba za kupanga na sijaoa uwongo
Huna uwezo huo hio ni destiny yao yaan wameshagota wachukulie km walemavu tu akili zao zimeshagota hao ndugu zako hata km utawaona wapo sawa Ila hawapo sawa kiakili, hapo ni kumuachia Mungu tu wapande gari moja wote wapigwe mzinga mkawazike basi ndio pona yenu kinyume na hapo wewe toa msaada tu ahsante zao zitarudi kwenye mikono ya watoto wako watakurudishia wakikua ingawa pia mambo yanabadirika unaweza usaidie na usisaidiweSasa nifanyeje ili kuwaokoa
Nimeshakwambia wapo watakaokuona Zuzu ukisema hivyo wengi wao wanafikiria umepanga apartment na unaishi Masaki huko kumbe jamaa yangu upo zako uswahili chumba cha giza hakina hata umeme na life linasongaSiwezi kuja kuishi dar na bi mkubwa dar kwenye nyumba za kupanga na sijaowa
Hujawahi kukaa chini ukaongea vizuri na mama yako akakusimulie vizuri, kuna vitu hauvijuiSisi kwenye familia yetu sio walev wa pombe wala sigara kuanzia wazazi wetu lakini shanga hawa jamaa kuna mmoja anavuta sigara mpaka bangi kitu ambacho kwenye familia yetu akijawahi kuwepo
Ndio hivyo jamaa akili zao zimepigwa komeo yaan hawaendelei wanarudi palepale kuna watu wanajua kuroga, wanawake wanaroga sanaKuendelea kusaidia huku unaumia roho siyo vizuri, afadhali usitoe kabisa, kuhusu hao ndugu zako ni wazi hawako normal, inawezekana wapo kwenye vifungo vya giza, wapeleke kwenye maombi watafunguliwa na watakuwa huru, Humu duniani mambo ni mengi mdogo wangu.
Hata Serikali ikisema hivi nahisi watu wataipata fresh qummke watu wataipatapata fresh idadi ya watu kujiua na kuuana itaongezeka maradufu, Serikali iseme nyinyi mbwa msitusumbue sisi 'Serikali' sio tuliowaleta Dunianimimi sio niliyewaleta duniani
Na hili ndilo suluhishoKama kuna uwezekano, mchukueni bi Mkubwa muishi nae alaf nyumba pangisheni. Haya majamaa yaachieni chumba kimoja.
Hakikisheni hati na documents muhimu za nyumba mnazitoa hapo home. Baada ya hapo, hakuna tena sababu ya kuwatumia hela ya matumizi
Mpe hio condition bi mkubwa wako alafu msikilize atakwambia niniMpe condition bi mkubwa kuwa mkae naye ninyi...
Mchukue bi Mkubwa wako mwambie unamuondoa kwenye nyumba yake unataka uishi nae kwenye chumba chako kimoja ulichopanga Dar alafu msikilize atakwambia nini, nyie watu mnachukulia mambo simple simple eehNa hili ndilo suluhisho
Yaani hao jamaa ndio uwanunulie ng'ombe mbuzi na kuku ? Hao wanyama hawawezi kuiona asubuhi watakuwa wameliwa supu au kuuzwa bei ya kutupa. Hata hayo mashamba utakuwa umezalisha msitu wa kuishi majokaMungu akutie nguvu uweze kufanya haya.
1. Nunua mashamba/ walime chakula chao
2. Nunua ng'ombe/ mbuzi,kondoo,kuku kienyeji.
Utapunguza tatizo hili.
Duuuu, mzeebaba pole sana ndio misalaba hyo mzeeKuna familia zingine zinashangaza na zinakatisha tamaa sana.
Sisi kwenye familia yetu tumezaliwa watoto 9 wakiume tupo 6 na wakike wa 3 na uzao wetu umekaa hv kuna kaka zangu wakubwa wa 3 waliozaliwa miaka ya 70 then wanafuata dada 3 waliozaliwa miaka ya 80 halafu ndio sisi tena wakiume wa 3 wa mwisho tuliozaliwa miaka ya 90.
Kiukweli tulilelewa vzr sana na atukuwahi kushinda wala kulala njaa japo mzee alikuwa anafanya kazi ya kawaida sana ila alijitahidi kuhakikisha watoto wake tunalelewa vzr japo kwenye swala la kielimu atukufika mbali sana.
Mzee alijitahidi sana kuwekeza nguvu zake kwa hao kaka zetu wakubwa miaka ya 90 kipindi sisi wengine bado tupo wadogo sana ili wao ndio waje kuwa msaada kwetu.
Shida ni kuwa kaka zangu wawili walikuwa ni watu wa starehe na pombe mwisho wa wakafukuzwa kazi. Mmoja aliiba pesa kiac cha sh milioni 2 kazini kwake akakimbilia nchi jirani ya kenya hiyo ni milioni 2 miaka ya 90 haikuwa pesa ndogo, huko alikokwenda pia aliendekeza starehe kama kawaida mwisho pesa zote zilikwisha na mbaya zaidi aliugua sana ikabidi tena mzee aende kumfata huko alipokuwa,
na kaka yangu mwingine alienda mbali zaidi kufikia hatua ya kuingia chumbani kwa mzee na kuiba kiac kikubwa cha pesa na kukimbilia uganda,
Japo nilikuwa mtoto ila sikushindwa kujua maumivu aliokuwa nayo mzee, kwa mara ya kwanza nikamuona mzee akitokwa na machozi mbele yangu aisee niliumia sana.
Mwamba huko uganda akawa mtu wa starehe sana ni mwendo wa pombe na wanawake mwisho pesa zilikwisha akarudi tanzania akawa anakuja nyumbani kwa siri, Siku moja usiku muda wa saa 8 baba aliskia kama mchakacho akachukua panga akakutana na mtu anatoka koridoni mzee akataka kumkata panga akijua kuwa ni mwizi kwa bahati nzuri bro akawahi kutoa sauti ndio mshua akashusha panga.
Kama mjuavyo wazazi ni watu wenye huruma akamsamehe mambo yakaisha japo mshua akuwa na upendo nae tena.
Imepita miaka kadhaa wakaja na project kwa mzee hiyo ilikuwa 2008 mzee akaona sio mbaya akawapa tena mtaji wakiwa wawili rejea nyuma hao wote walishaiba pesa katika vipindi tofauti.
Ila cha kusikitisha hakuna cha maana walichofanya kumbuka hapo nguvu ya mzee katika kufanya kazi imeshaanza kupungua halafu akikumbuka watoto wake wakubwa ambao aliwekeza kwao amna cha maana walichofanya zaidi ya kumtia tu hasara ilifikia stage mpaka sisi wadogo mshua akawa anatuchukia kwa makosa ya kaka zetu wale wakubwa japo sisi bado ni watoto wadogo na tunasoma ila mara nyingi alikuwa anamwambia mama unaona watoto wako hawa wadogo pia wakikua watakuwa kama kaka zao aisee hilo jambo lilikuwa linaniumiza sana.
Ila nachoshukuru kati ya wale kaka zangu wakubwa watatu kuna mmoja yeye alipomaliza shule alienda dar miaka ya 2000 alihustle ila kiac alifanikiwa na ndio huyo akawa anampa mshua back up pale hali inapokuwa mbaya.
Kuna kipindi huyo bro aliyumba kiuchumi na mshua alikuwa mgonjwa na kama mjuavyo familia nyingi za kimaskini ni mpaka mzee atoke ndio familia ipate kula bac mshua baada ya kuwa katika mazingira yale alianza kupata stress akikumbuka nguvu aliyowekeza kwa vijana wake wakubwa ilivyopotea bure mpaka sasa familia aina chakula na yeye ambae ndio mtafutaji yupo chini bac mzee alianza kudhoofu sana hiyo ilikuwa 2011 kipindi hiko mi nipo form2 bac kuyumba kwa mzee vile ilipelekea tukakosa ada bac nikakaa home.
○
○Mzee maradhi na stress vilimuandama sana mwisho akalazwa hospitali kwa bahati mbaya akafariki. Bac tukaanza namna ya kutafuta mawasiliano ya wale kaka zangu wawili watukutu maana walikuwa wilaya nyingine kipindi hiko tuliwapata aisee jamaa wamekuja msibani hawana hata mia yani wamechakaa kinoma. Bac yule bro ambae yupo dar alijitahidi kwa nguvu zake mwenyewe akamiliza msiba fresh.
○
○Na ndio anaetoa msaada mkubwa kumlisha mama toka mzee amefariki yeye ndio tegemeo la familia maana dada zangu pia maisha yao ni tabu tu na wote hawajaolewa mpaka sasa.
○Wanaishi kwa kuunga unga tu aisee kuna baadhi ya familia ukizaliwa ni shida sana.
Cha kusikitisha kingine ni kwamba wale kaka zangu wawili mpaka leo hii mmoja ana miaka 50 mwingine ana miaka 45 bado wapo wapo tu wakipata pesa ni pombe na wanawake awana wake wala watoto na mbaya zaidi wao wote wamerudi home wanaishi na mama lakini awajishughulishi na chochote wamekaa tu wanakula kwa mgongo wa bi mkubwa kiukweli kuna familia nyingine zinakera sana.
Ebu fikiria vijana wakubwa wawili miaka 40+ wanashindwa kumlisha mama yao nao wamekaa wanalishwa, just imagine mpaka umeme wa elfu 2 unapigiwa simu dar wakati home kuna vijana wawili wakubwa wao wakipata pesa zao wanaenda kuishi guest mpaka wahakikshe hizo pesa zimeisha ndio wanarudi home halafu wanasubili sisi ndio tuwalishe kifupi tu ni kwamba hao ma bro washakula pesa za watu nyingi na hawajawahi kurudisha.
na kipindi nipo mkoa nilikuwa najaribu kuwashauri ila nilikuwa naishia kukabwa na kutaka kupigwa
Wengine ndio tumepata ajira jana tu hata kujipanga bado lakini simu za mzazi zimekuwa nyingi wakati pale home kuna vijana wakubwa hawataki kujishughulisha na mbaya zaidi mama hata kuwashauri wanae hawezi sometime wanakuja kukaa hapo na wanawake zao halafu bado pesa ya kula sisi ndio tunatafuta ukimtumia mama nae anakaa anakula na wanae, yani wanaenda kuzurura huko wakirudi wanakuta mama kawaachia msosi wanakula wanaondoka tena wanaenda kuzurura wakirudi usiku tena unakuta bi mkubwa kawaachia msosi wanakula wanaenda kulala kesho tena hivohivo jamani halafu fikirieni watu wanaofanya hivo ni watu wenye miaka 40+
Na pesa ya matumizi ikiisha bi mkubwa anawatafuta tena mnaangaika mkipata mnatuma bi mkubwa anaendelea kula na wanae halafu mbaya zaidi nayeye hata awashauri wanae ukimueleza awashauri watoto wake pia wajishughulishe anakwambia sasa kama hawa kaka zako hawana pesa wafanyeje utadhani sisi ndio tunahela wakati tunaangaika ili mama apate kula wengine hata mambo ya wanawake tulishasahau kutokana na majukumu ya kifamilia jinsi yanavyotubana.
Lakini unakuta hapo kuna baadhi ya ndugu zako tena wengine wangeweza hata kukuzaa wao wamekaa wanasubili wewe uhangaike uwatumie pesa wao wale.
Hapa toka jana mama ameshaanza kusumbua anahitaji pesa ya matumizi na sio muda mrefu nilimtumia laki moja na bro school bus yake pia iliangukiwa na mti ipo right off namimi na saiz bado mambo yangu ayajakaa sawa.
Halafu fikiria hapo home kuna wazee wazima ambao hata sio walemavu wamekaa wanasubili uhangaike utume pesa wale.
Aisee kuna familia nyingine zinakatisha tamaa sana kama ni laaana bac hii ya familia yangu imezidi mpaka najuta ni kwanini nilizaliwa na ndugu kama hawa, jamani nimechoka just imagine mpaka umeme wa elfu mbili mama anakupigia simu dar.
Ni nani aliyekuwa akimfungulia mlango huyo mpuuzi aliye fumwa koridoni?Kuna familia zingine zinashangaza na zinakatisha tamaa sana.

Usifanye mambo kwa assumptions, unafikiri mzazi mmoja asipokuwa tayari ndio na wazazi wote hawako tayari?Mchukue bi Mkubwa wako mwambie unamuondoa kwenye nyumba yake unataka uishi nae kwenye chumba chako kimoja ulichopanga Dar alafu msikilize atakwambia nini, nyie watu mnachukulia mambo simple simple eeh
NAKAZIA.Mchukueni Mama yenu, uzeni nyumba kama ipo gawaneni wote na hao wahuni, story ended, la sivyo mtarudi kwenye umaskini, hata nyie wenye nafuu.
Ushauri, sio lazima:
Okoka, kuna balaa kwenye hiyo Nyumba, sijasema uende kwa nabii au mchungaji, soma Biblia mwenyewe, omba Mungu taratibu utaona nuru.
Mchukue bi Mkubwa wako mwambie unamuondoa kwenye nyumba yake unamleta Dar uishi nae kwenye chumba chako kimoja cha kupanga uswahilini alafu msikilize anakwambia niniUsifanye mambo kwa assumptions, unafikiri mzazi mmoja asipokuwa tayari ndio na wazazi wote hawako tayari?
Na wewe zero mwingineNAKAZIA.
Unaeleza km kwamba uliwahi kuishi nao au unamjua Mama yao kumbe chenga tu chemsha chai unywe na mihogo ya kukaanga kwa Mama Mwajuma hapo ukimaliza nenda vijiwe vya porojo ukadai Bandari Ila ujue ishachukuliwa na waarabuUjinga wa hao kaka zako nyuma yao kuna mama yenu ndiye aliye lifanikisha hilo akidhani ana waonesha upendo na kumbe alikuwa akimhujumu mmewe na uchumi wa familia kwa ujumla.