Familia nyingine ni za ajabu sana

Familia nyingine ni za ajabu sana

Nakutisha wapi nakuambia ukweli acha matusi kwa sisi watu wazima.
Umejiunga JF juzi tu leo unaanza matusi,unataka sisi wakubwa zako tukuache bila kukukanya uache matusi yako uliyozoea kwenye familia yenu?
Familia yetu haina matusi na haikuhusu kiufupi fuata kilichokuleta ukianza kubishana na Mimi na akili zako za panya utanasa pabaya
 
Kuna familia zingine zinashangaza na zinakatisha tamaa sana.

Sisi kwenye familia yetu tumezaliwa watoto 9 wakiume tupo 6 na wakike wa 3 na uzao wetu umekaa hv kuna kaka zangu wakubwa wa 3 waliozaliwa miaka ya 70 then wanafuata dada 3 waliozaliwa miaka ya 80 halafu ndio sisi tena wakiume wa 3 wa mwisho tuliozaliwa miaka ya 90.

Kiukweli tulilelewa vzr sana na atukuwahi kushinda wala kulala njaa japo mzee alikuwa anafanya kazi ya kawaida sana ila alijitahidi kuhakikisha watoto wake tunalelewa vzr japo kwenye swala la kielimu atukufika mbali sana.

Mzee alijitahidi sana kuwekeza nguvu zake kwa hao kaka zetu wakubwa miaka ya 90 kipindi sisi wengine bado tupo wadogo sana ili wao ndio waje kuwa msaada kwetu.

Shida ni kuwa kaka zangu wawili walikuwa ni watu wa starehe na pombe mwisho wa wakafukuzwa kazi. Mmoja aliiba pesa kiac cha sh milioni 2 kazini kwake akakimbilia nchi jirani ya kenya hiyo ni milioni 2 miaka ya 90 haikuwa pesa ndogo, huko alikokwenda pia aliendekeza starehe kama kawaida mwisho pesa zote zilikwisha na mbaya zaidi aliugua sana ikabidi tena mzee aende kumfata huko alipokuwa,

na kaka yangu mwingine alienda mbali zaidi kufikia hatua ya kuingia chumbani kwa mzee na kuiba kiac kikubwa cha pesa na kukimbilia uganda,
Japo nilikuwa mtoto ila sikushindwa kujua maumivu aliokuwa nayo mzee, kwa mara ya kwanza nikamuona mzee akitokwa na machozi mbele yangu aisee niliumia sana.

Mwamba huko uganda akawa mtu wa starehe sana ni mwendo wa pombe na wanawake mwisho pesa zilikwisha akarudi tanzania akawa anakuja nyumbani kwa siri, Siku moja usiku muda wa saa 8 baba aliskia kama mchakacho akachukua panga akakutana na mtu anatoka koridoni mzee akataka kumkata panga akijua kuwa ni mwizi kwa bahati nzuri bro akawahi kutoa sauti ndio mshua akashusha panga.

Kama mjuavyo wazazi ni watu wenye huruma akamsamehe mambo yakaisha japo mshua akuwa na upendo nae tena.

Imepita miaka kadhaa wakaja na project kwa mzee hiyo ilikuwa 2008 mzee akaona sio mbaya akawapa tena mtaji wakiwa wawili rejea nyuma hao wote walishaiba pesa katika vipindi tofauti.

Ila cha kusikitisha hakuna cha maana walichofanya kumbuka hapo nguvu ya mzee katika kufanya kazi imeshaanza kupungua halafu akikumbuka watoto wake wakubwa ambao aliwekeza kwao amna cha maana walichofanya zaidi ya kumtia tu hasara ilifikia stage mpaka sisi wadogo mshua akawa anatuchukia kwa makosa ya kaka zetu wale wakubwa japo sisi bado ni watoto wadogo na tunasoma ila mara nyingi alikuwa anamwambia mama unaona watoto wako hawa wadogo pia wakikua watakuwa kama kaka zao aisee hilo jambo lilikuwa linaniumiza sana.

Ila nachoshukuru kati ya wale kaka zangu wakubwa watatu kuna mmoja yeye alipomaliza shule alienda dar miaka ya 2000 alihustle ila kiac alifanikiwa na ndio huyo akawa anampa mshua back up pale hali inapokuwa mbaya.

Kuna kipindi huyo bro aliyumba kiuchumi na mshua alikuwa mgonjwa na kama mjuavyo familia nyingi za kimaskini ni mpaka mzee atoke ndio familia ipate kula bac mshua baada ya kuwa katika mazingira yale alianza kupata stress akikumbuka nguvu aliyowekeza kwa vijana wake wakubwa ilivyopotea bure mpaka sasa familia aina chakula na yeye ambae ndio mtafutaji yupo chini bac mzee alianza kudhoofu sana hiyo ilikuwa 2011 kipindi hiko mi nipo form2 bac kuyumba kwa mzee vile ilipelekea tukakosa ada bac nikakaa home.

○Mzee maradhi na stress vilimuandama sana mwisho akalazwa hospitali kwa bahati mbaya akafariki. Bac tukaanza namna ya kutafuta mawasiliano ya wale kaka zangu wawili watukutu maana walikuwa wilaya nyingine kipindi hiko tuliwapata aisee jamaa wamekuja msibani hawana hata mia yani wamechakaa kinoma. Bac yule bro ambae yupo dar alijitahidi kwa nguvu zake mwenyewe akamiliza msiba fresh.

○Na ndio anaetoa msaada mkubwa kumlisha mama toka mzee amefariki yeye ndio tegemeo la familia maana dada zangu pia maisha yao ni tabu tu na wote hawajaolewa mpaka sasa.
○Wanaishi kwa kuunga unga tu aisee kuna baadhi ya familia ukizaliwa ni shida sana.

Cha kusikitisha kingine ni kwamba wale kaka zangu wawili mpaka leo hii mmoja ana miaka 50 mwingine ana miaka 45 bado wapo wapo tu wakipata pesa ni pombe na wanawake awana wake wala watoto na mbaya zaidi wao wote wamerudi home wanaishi na mama lakini awajishughulishi na chochote wamekaa tu wanakula kwa mgongo wa bi mkubwa kiukweli kuna familia nyingine zinakera sana.

Ebu fikiria vijana wakubwa wawili miaka 40+ wanashindwa kumlisha mama yao nao wamekaa wanalishwa, just imagine mpaka umeme wa elfu 2 unapigiwa simu dar wakati home kuna vijana wawili wakubwa wao wakipata pesa zao wanaenda kuishi guest mpaka wahakikshe hizo pesa zimeisha ndio wanarudi home halafu wanasubili sisi ndio tuwalishe kifupi tu ni kwamba hao ma bro washakula pesa za watu nyingi na hawajawahi kurudisha.
na kipindi nipo mkoa nilikuwa najaribu kuwashauri ila nilikuwa naishia kukabwa na kutaka kupigwa

Wengine ndio tumepata ajira jana tu hata kujipanga bado lakini simu za mzazi zimekuwa nyingi wakati pale home kuna vijana wakubwa hawataki kujishughulisha na mbaya zaidi mama hata kuwashauri wanae hawezi sometime wanakuja kukaa hapo na wanawake zao halafu bado pesa ya kula sisi ndio tunatafuta ukimtumia mama nae anakaa anakula na wanae, yani wanaenda kuzurura huko wakirudi wanakuta mama kawaachia msosi wanakula wanaondoka tena wanaenda kuzurura wakirudi usiku tena unakuta bi mkubwa kawaachia msosi wanakula wanaenda kulala kesho tena hivohivo jamani halafu fikirieni watu wanaofanya hivo ni watu wenye miaka 40+

Na pesa ya matumizi ikiisha bi mkubwa anawatafuta tena mnaangaika mkipata mnatuma bi mkubwa anaendelea kula na wanae halafu mbaya zaidi nayeye hata awashauri wanae ukimueleza awashauri watoto wake pia wajishughulishe anakwambia sasa kama hawa kaka zako hawana pesa wafanyeje utadhani sisi ndio tunahela wakati tunaangaika ili mama apate kula wengine hata mambo ya wanawake tulishasahau kutokana na majukumu ya kifamilia jinsi yanavyotubana.
Lakini unakuta hapo kuna baadhi ya ndugu zako tena wengine wangeweza hata kukuzaa wao wamekaa wanasubili wewe uhangaike uwatumie pesa wao wale.

Hapa toka jana mama ameshaanza kusumbua anahitaji pesa ya matumizi na sio muda mrefu nilimtumia laki moja na bro school bus yake pia iliangukiwa na mti ipo right off namimi na saiz bado mambo yangu ayajakaa sawa.
Halafu fikiria hapo home kuna wazee wazima ambao hata sio walemavu wamekaa wanasubili uhangaike utume pesa wale.

Aisee kuna familia nyingine zinakatisha tamaa sana kama ni laaana bac hii ya familia yangu imezidi mpaka najuta ni kwanini nilizaliwa na ndugu kama hawa, jamani nimechoka just imagine mpaka umeme wa elfu mbili mama anakupigia simu dar.
dogo tutumie hela tuendelee kula bhana, wewe nani alikuambia upate kazi
 
Unachokisema sio kweli hata kidogo sisi wote tumelelewa katika maadili mazuri ni hao ndugu tu sijui hizo tabia wametoa wapi. Sisi kwenye familia yetu sio walev wa pombe wala sigara kuanzia wazazi wetu lakini shanga hawa jamaa kuna mmoja anavuta sigara mpaka bangi kitu ambacho kwenye familia yetu akijawahi kuwepo

Unajuaje Wakati ninyi ni wadogo mmekuja baada ya miaka 10 Baada ya Kaka zenu wakubwa?
 
Huyo mama yao ndiye kawalea vibaya hao mambwiga. Dogo inabidi aaply roho mbaya ampe mama yake condition ya kuja mjini awaache huko hao mabwege, la hataki dogo akate kamba ya msaada.
Hakuna cha laana wala maandazi.
Ushauri wa kitoto ungejua maumivu ya kuzaa mtoto kule leba yapoje ungekaa kimya
 
Kuna familia zingine zinashangaza na zinakatisha tamaa sana.

Sisi kwenye familia yetu tumezaliwa watoto 9 wakiume tupo 6 na wakike wa 3 na uzao wetu umekaa hv kuna kaka zangu wakubwa wa 3 waliozaliwa miaka ya 70 then wanafuata dada 3 waliozaliwa miaka ya 80 halafu ndio sisi tena wakiume wa 3 wa mwisho tuliozaliwa miaka ya 90.

Kiukweli tulilelewa vzr sana na atukuwahi kushinda wala kulala njaa japo mzee alikuwa anafanya kazi ya kawaida sana ila alijitahidi kuhakikisha watoto wake tunalelewa vzr japo kwenye swala la kielimu atukufika mbali sana.

Mzee alijitahidi sana kuwekeza nguvu zake kwa hao kaka zetu wakubwa miaka ya 90 kipindi sisi wengine bado tupo wadogo sana ili wao ndio waje kuwa msaada kwetu.

Shida ni kuwa kaka zangu wawili walikuwa ni watu wa starehe na pombe mwisho wa wakafukuzwa kazi. Mmoja aliiba pesa kiac cha sh milioni 2 kazini kwake akakimbilia nchi jirani ya kenya hiyo ni milioni 2 miaka ya 90 haikuwa pesa ndogo, huko alikokwenda pia aliendekeza starehe kama kawaida mwisho pesa zote zilikwisha na mbaya zaidi aliugua sana ikabidi tena mzee aende kumfata huko alipokuwa,

na kaka yangu mwingine alienda mbali zaidi kufikia hatua ya kuingia chumbani kwa mzee na kuiba kiac kikubwa cha pesa na kukimbilia uganda,
Japo nilikuwa mtoto ila sikushindwa kujua maumivu aliokuwa nayo mzee, kwa mara ya kwanza nikamuona mzee akitokwa na machozi mbele yangu aisee niliumia sana.

Mwamba huko uganda akawa mtu wa starehe sana ni mwendo wa pombe na wanawake mwisho pesa zilikwisha akarudi tanzania akawa anakuja nyumbani kwa siri, Siku moja usiku muda wa saa 8 baba aliskia kama mchakacho akachukua panga akakutana na mtu anatoka koridoni mzee akataka kumkata panga akijua kuwa ni mwizi kwa bahati nzuri bro akawahi kutoa sauti ndio mshua akashusha panga.

Kama mjuavyo wazazi ni watu wenye huruma akamsamehe mambo yakaisha japo mshua akuwa na upendo nae tena.

Imepita miaka kadhaa wakaja na project kwa mzee hiyo ilikuwa 2008 mzee akaona sio mbaya akawapa tena mtaji wakiwa wawili rejea nyuma hao wote walishaiba pesa katika vipindi tofauti.

Ila cha kusikitisha hakuna cha maana walichofanya kumbuka hapo nguvu ya mzee katika kufanya kazi imeshaanza kupungua halafu akikumbuka watoto wake wakubwa ambao aliwekeza kwao amna cha maana walichofanya zaidi ya kumtia tu hasara ilifikia stage mpaka sisi wadogo mshua akawa anatuchukia kwa makosa ya kaka zetu wale wakubwa japo sisi bado ni watoto wadogo na tunasoma ila mara nyingi alikuwa anamwambia mama unaona watoto wako hawa wadogo pia wakikua watakuwa kama kaka zao aisee hilo jambo lilikuwa linaniumiza sana.

Ila nachoshukuru kati ya wale kaka zangu wakubwa watatu kuna mmoja yeye alipomaliza shule alienda dar miaka ya 2000 alihustle ila kiac alifanikiwa na ndio huyo akawa anampa mshua back up pale hali inapokuwa mbaya.

Kuna kipindi huyo bro aliyumba kiuchumi na mshua alikuwa mgonjwa na kama mjuavyo familia nyingi za kimaskini ni mpaka mzee atoke ndio familia ipate kula bac mshua baada ya kuwa katika mazingira yale alianza kupata stress akikumbuka nguvu aliyowekeza kwa vijana wake wakubwa ilivyopotea bure mpaka sasa familia aina chakula na yeye ambae ndio mtafutaji yupo chini bac mzee alianza kudhoofu sana hiyo ilikuwa 2011 kipindi hiko mi nipo form2 bac kuyumba kwa mzee vile ilipelekea tukakosa ada bac nikakaa home.

○Mzee maradhi na stress vilimuandama sana mwisho akalazwa hospitali kwa bahati mbaya akafariki. Bac tukaanza namna ya kutafuta mawasiliano ya wale kaka zangu wawili watukutu maana walikuwa wilaya nyingine kipindi hiko tuliwapata aisee jamaa wamekuja msibani hawana hata mia yani wamechakaa kinoma. Bac yule bro ambae yupo dar alijitahidi kwa nguvu zake mwenyewe akamiliza msiba fresh.

○Na ndio anaetoa msaada mkubwa kumlisha mama toka mzee amefariki yeye ndio tegemeo la familia maana dada zangu pia maisha yao ni tabu tu na wote hawajaolewa mpaka sasa.
○Wanaishi kwa kuunga unga tu aisee kuna baadhi ya familia ukizaliwa ni shida sana.

Cha kusikitisha kingine ni kwamba wale kaka zangu wawili mpaka leo hii mmoja ana miaka 50 mwingine ana miaka 45 bado wapo wapo tu wakipata pesa ni pombe na wanawake awana wake wala watoto na mbaya zaidi wao wote wamerudi home wanaishi na mama lakini awajishughulishi na chochote wamekaa tu wanakula kwa mgongo wa bi mkubwa kiukweli kuna familia nyingine zinakera sana.

Ebu fikiria vijana wakubwa wawili miaka 40+ wanashindwa kumlisha mama yao nao wamekaa wanalishwa, just imagine mpaka umeme wa elfu 2 unapigiwa simu dar wakati home kuna vijana wawili wakubwa wao wakipata pesa zao wanaenda kuishi guest mpaka wahakikshe hizo pesa zimeisha ndio wanarudi home halafu wanasubili sisi ndio tuwalishe kifupi tu ni kwamba hao ma bro washakula pesa za watu nyingi na hawajawahi kurudisha.
na kipindi nipo mkoa nilikuwa najaribu kuwashauri ila nilikuwa naishia kukabwa na kutaka kupigwa

Wengine ndio tumepata ajira jana tu hata kujipanga bado lakini simu za mzazi zimekuwa nyingi wakati pale home kuna vijana wakubwa hawataki kujishughulisha na mbaya zaidi mama hata kuwashauri wanae hawezi sometime wanakuja kukaa hapo na wanawake zao halafu bado pesa ya kula sisi ndio tunatafuta ukimtumia mama nae anakaa anakula na wanae, yani wanaenda kuzurura huko wakirudi wanakuta mama kawaachia msosi wanakula wanaondoka tena wanaenda kuzurura wakirudi usiku tena unakuta bi mkubwa kawaachia msosi wanakula wanaenda kulala kesho tena hivohivo jamani halafu fikirieni watu wanaofanya hivo ni watu wenye miaka 40+

Na pesa ya matumizi ikiisha bi mkubwa anawatafuta tena mnaangaika mkipata mnatuma bi mkubwa anaendelea kula na wanae halafu mbaya zaidi nayeye hata awashauri wanae ukimueleza awashauri watoto wake pia wajishughulishe anakwambia sasa kama hawa kaka zako hawana pesa wafanyeje utadhani sisi ndio tunahela wakati tunaangaika ili mama apate kula wengine hata mambo ya wanawake tulishasahau kutokana na majukumu ya kifamilia jinsi yanavyotubana.
Lakini unakuta hapo kuna baadhi ya ndugu zako tena wengine wangeweza hata kukuzaa wao wamekaa wanasubili wewe uhangaike uwatumie pesa wao wale.

Hapa toka jana mama ameshaanza kusumbua anahitaji pesa ya matumizi na sio muda mrefu nilimtumia laki moja na bro school bus yake pia iliangukiwa na mti ipo right off namimi na saiz bado mambo yangu ayajakaa sawa.
Halafu fikiria hapo home kuna wazee wazima ambao hata sio walemavu wamekaa wanasubili uhangaike utume pesa wale.

Aisee kuna familia nyingine zinakatisha tamaa sana kama ni laaana bac hii ya familia yangu imezidi mpaka najuta ni kwanini nilizaliwa na ndugu kama hawa, jamani nimechoka just imagine mpaka umeme wa elfu mbili mama anakupigia simu dar.
Pepo yako ipo chini ya nyayo ya mama yako
 
hivi hapa duniani kunamtu alishikiwa kiboko azae?

nyege zetu ndio zinatuponza.kwamimi hapa sitamani kupata mtoto nademu akishika mimba nahakikisha ameitoa sitaki kuja kuonekana kituko na damu yangu

kilasiku namlaumu mzee na maza kwanini nimaskini kwanini walinizaa ila nyege ndio chanzo

ila sina chakuwadai mana kama nishule mzee alipambana na kunifatilia vizuri Mimi mwenyewe ndio nilifeli
naogopa kabisa kuleta kiumbe duniani kije kupitia msoto wangu naogopa kabisa mana hapanilipo sina chakujitetea chochote mfano nikifa sina uhakika wakwenda peponi mana sina matendo yoyote mema

je kwamfano nisingezaliwa ningeendaje motoni Sasa?

nikiyafikiria haya hata demu sitaki kabisa aisee kutesa vitu visivyo nahatia kutiana kwenye matatizo tuu.
hata wewe mkuu zilaumu nyege za wazazi wako mkuu.mana ndio zinakutesa.
 
Habari, Kwanini umekata tamaa kiasi hichi ndugu yangu
 
Bora kuwa mama malaya malaya mkuu usiyejitambua lakini you dont spoil fool grown 'great-kids'.
Kazae wa kwako ukamtupe jalalani/chooni mtoto sio nguo, nyinyi ndio mnaua watoto wenye ulemavu mkisema ni laana ya ukoo au waliosema mtoto kwa mama hakui walikua maziro km wewe mama usiejitambua
 
Hahahaha umenichekesha. Tatizo la hawa jamaa ni kwamba hawarekebishiki na hawaonekani kujuta wala kubadilika. Makosa yanafanyika hatukatai lakini hawa ni wamegoma kubadilika na mbaya zaidi kuwasababishia mzigo wengine. Siwapangii aina yao ya maisha maadamu wameona inawafaa, lakini usiwe mzigo kwa wengine. Hapa ndiyo lilipo tatizo.

Mimi sina roho ya namna hiyo ndugu kusema niue mtoto mlemavu. Mtoto mlemavu hiyo ni scenario tofauti na ya hawa majamaa. Inaonekana mkuu hii stori inakuakisi wewe kabisa.
 
Back
Top Bottom