Naona masifuri yamezidi Jf imevamiwa great thinker's wapo wapi naona masifuri tu maybe jamaa mmoja tu hapo ndio katoa ushauri wa kiutu uzima wengine wote watoto wa form 2 C hawana hata familiaMzee punguza visungura utakuja bakwa
We unawashwa nini?Umeambiwa utoe ushauri sio kukazia kazia tu au huna kichwa cha kufikiri tofauti na wengine
Acha ujinga kijana,sina muda wa kubishana na mangungo, hao wahuni wamelelewa vibaya na mzigo wa mtoto mpumbavu anatakiwa ubeba mzazi wake,bahati mbaya mama mzazi ametwisha mzigo wasiohusika kuwahudumia wahuni ,mzigo anatakiwa beba yeyeWewe unaweza ukamtupa mtoto wako chooni au jalalani Ila ulimchomoa kwa uchungu mkubwa na makelele mengi kule leba unaweza kumtupa kwenye shimo la taka au mtaloni una uwezo huo?
Unawashwa hapo nyuma unatafuta mkunaji au sio? Alafu nyie mmeambiwa mtoe ushauri mnaandika upuuzi wenu nani atawasikiliza mnafikiri familia zote zinafanana PUMBAVUWe unawashwa nini?
Nime ku Quote wewe?
Unakuwa na Shobo za kipumbavu.
Bila shaka una fukunyuliwa huko nyuma.
Kaa kimya hujui unachokiongea ndio maana waarabu wanapiga bao alafu mnaanza kubwatuka KENGE nyie hamjitambui waarabu wahindi wanaishi pamoja na wanabebana no matter what Ila miafrika ndio maana mnakufa masikini kwa kukosa matibabuAcha ujinga kijana,sina muda wa kubishana na mangungo, hao wahuni wamelelewa vibaya na mzigo wa mtoto mpumbavu anatakiwa ubeba mzazi wake,bahati mbaya mama mzazi ametwisha mzigo wasiohusika kuwahudumia wahuni ,mzigo anatakiwa beba yeye
Yaani hela zako ukalale na wanawake halafu chakula uje kuombaomba?Kaa kimya hujui unachokiongea ndio maana waarabu wanapiga bao alafu mnaanza kubwatuka KENGE nyie hamjitambui waarabu wahindi wanaishi pamoja na wanabebana no matter what Ila miafrika ndio maana mnakufa masikini kwa kukosa matibabu
Hii ni level ya juu sana ya ubinafsi. Killing a man is unforgivable. Wengine tuna ndugu miyeyusho mno ila huwezi fikiria kumuua ndugu yako thats a grave mistake.Nikushauri?
Tia sumu ya panya hao kenge wawili,problem solved
Upuuzi, bora uwakimbie kuliko kuwaua. Watakufa a natural death.Aya jidanganye uyakimbie na mama yao,uone mama yao atakavyokumaindi kuwa unamtesea wanawe
Tia sumu yafe
Kabla ya kumuhukumu mtu msaidie kwanza kiroho hujawahi logwa wewe na usiombeeUpuuzi, bora uwakimbie kuliko kuwaua. Watakufa a natural death.
Usiombe kuna wale wazazi wao walitengana na huko walipoenda kuoa na kuolewa familia zao zikavunjika na wengi wazee ,unakuwa unahudumia pande mbili huku na huku na kila mzazi ana mahitaji yake.
Kumbukumbu labda uliachwa upande mmoja ukapata madhila hapa duniani katika mqkuzi yako ,unapokuwa wale wazazi unatakiwa kuwasaidia kwa pamoja whilst ulikuwa unalelewa upande mmoja.
Ukianza tu kazi inawezekana hata mzazi mmoja zaidi ya miaka 10 hajui wewe unakula nn ila ukifanikiwa unatakiwa umjengee nyumba .[emoji28]
Wewe toa ushauri kwa mleta mada ukianza kubishana na Mimi sababu umeshiba mihogo utakesha hapaYaani hela zako ukalale na wanawake halafu chakula uje kuombaomba?
Unapaswa kupuuzwa,kifupi huna akili
Soma comments amesema anapiga mishe za kuungaunga Dar kapanga chumba kimoja huyo mama anamweka wapi? Acha kua na akili fupi PotiCha msingi mchukue mama ako uishi nae ili ukwepe kuwasaidia hao ndugu zako wengine.