Familia nyingine ni za ajabu sana

🤣🤣🤣🤣
 
Duuh..aisee hz familia zetu za kiafrika zinashida sana tuzidi kuombeana kwakweli🤣🤣
 
Kabisa mkuu source kubwa ni kwenye malezi nahisi
 
Kama kuna uwezekano, mchukueni bi Mkubwa muishi nae alaf nyumba pangisheni. Haya majamaa yaachieni chumba kimoja.

Hakikisheni hati na documents muhimu za nyumba mnazitoa hapo home. Baada ya hapo, hakuna tena sababu ya kuwatumia hela ya matumizi
Huyo Mama hawezi kukubali kutoka hapo nyumbani..anajua hao wazee wake watakosa chakula..wamama wakati mwingine wanalemaza sana watoto wao
 
Unachokisema sio kweli hata kidogo sisi wote tumelelewa katika maadili mazuri ni hao ndugu tu sijui hizo tabia wametoa wapi. Sisi kwenye familia yetu sio walev wa pombe wala sigara kuanzia wazazi wetu lakini shanga hawa jamaa kuna mmoja anavuta sigara mpaka bangi kitu ambacho kwenye familia yetu akijawahi kuwepo
 
🤣🤣🤣🤣
 
👍
 
Ahsante mkuu kwa wazo lako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…