Familia nzima yateketea kwa moto uliosababishwa na gesi

Marehemu wapumzike kwa amani
Pole sana kwa wafiwa na wote walioguswa na msiba
 
Poleni sana roho zao zipumzike kwa amani
 
Kwa kwelii nimeumia sanaa
Mungu mwenyenzi awape Faraja ya kweliii
Na ndugu zetu wapumzike kwa Amani
 

Hivi nyie walevi mkishalewa si Mle na chakula huko huko? Ni mpaka mje msumbufu wake zenu wawapashie chakula?
 
Ndiyo maana nachukia sana k vant.

Yaani mtoa post kaleta taarifa halafu anakimbia Uzi,

Anaendelea na k vant..zake..bila kujali.
 
Just imagine.mlevi na wali wapi na wapi??

Kweli sijawahi kunywa pombe toka nizaliwa ila walevi inabidi wabadilike, kama una uwezo wa kunywa pombe si ununue na chakula huko huko tu? Uje umeshiba ulale!

Wanawake wanavumilia sana, Mlevi anakuja kale agonge mlango, aamshe mke asumbue apige kelele, Adai chakula, Maji ya kuoga, na Baadae alazimishe uchi!

Ujinga kabisa!
 
Sema na huyu Mama nae msosi wa baba ungewekwa hata kwa hotpot
Sasa msosi unaachwa kwenye sufuria ujipashie kweli?? Wapumzike kwa amani bna .daah

Sent from my Infinix X624 using JamiiForums mobile app
 
Wake zetu washatuzoea boss. Maisha yanaenda pombe ishakuwa perfume kwao, wewe endelea kunywa chai na siagi si tunywe supu rahisi tu. Kwenye pato la taifa wanywaji ni wachangiaji wakubwa


R.I.P kwa marehemu na familia yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…