Dar usimuulize mtu; umeoa? Umejenga? Na hiyo mpya umegraduate?π π π mkuu dar es salaam ngumu sana huku unasoma mwacheni tu na maisha yake atafunzwa na ulimwengu
Walitaka kijana wao awe kama wanavyotaka wao na sio kama kijana anavyotakaMbona kama wanafamilia ndo mnateseka kuliko mhusika mwnyw π
Bora angesema mapema, lingesolviwa.Hamdanganyi mtu anajidanganya mwenyewe kama ni hivyo.....
Mwaka flani dogo alitoka kucheki matokeo yake ya form four, akarudi home analiaa vibaya sana kuwa kafeli, bi mkubwa kambembeleza pale kijana wake.
Baada ya siku kupita nikamuuliza ulipata four ya ngapi, points anazosema sio za four, kwenda kwenye shule kucheki matokeo jina halipo. Kumbe hakufanya pepa alitimliwa akiwa form two kwahiyo akawa na kazi ya kula ada kila term, anatumiwa pesa za matumizi akiwa huko mkoa wa tofauti, wakati wa likizo anatumiwa nauli, wakati wa kuondoka anafanyiwa shopping ya shule....kumbe yupo tu kitaa.
Matokeo anayaona leo, alikua anajidanganya mwenyewe
habari ya wakat huu wadau? kama tittle inavyojieleza nina mjomba wangu ambae alikuwa akisoma udsm na mwaka huu ndio alitakiwa kuhitimu lakin kama familia tunashindwa kuelewa kama kweli kahitimu au anaidanganya familia, sababu aligoma kuonesha matokeo yake ya mwisho pia aligoma ndugu yoyote asiende kwenye mahafari hayo yaliyo fanyika october 15!
Wadau nilikuwa naomba mdau yoyote humu mwenye kitabu cha wahitimu udsm 2026 anisaidie kwenye website udsm sijafanikiwa kuona, ili niweze kutazama jina lake kama kweli ni miongoni mwa wahitimu!
Kabisa, angesema wala asingeachwa angetafutiwa shule na angeendelea.Bora angesema mapema, lingesolviwa.
mkuu, tatizo familia tumepambana sana juu yake hasa mimi uncle wake sabab mama yake alifariki alimuacha akiwa kidato cha Nneπ π π mkuu dar es salaam ngumu sana huku unasoma mwacheni tu na maisha yake atafunzwa na ulimwengu
Tuanzie hapaJe kama familia mlitekeleza majukumu yetu kwa ufasaha wakati kijana yupo masomoni?
Polen mkuu itakuwa alifel au alikula ada ongeeni nae vizuri mpwa wenu mumuokoe hili life gumumkuu, tatizo familia tumepambana sana juu yake hasa mimi uncle wake sabab mama yake alifariki alimuacha akiwa kidato cha Nne
B.Sc in BotanyKozi