Familia tunahisi kijana ametuongopea kuwa amehitimu udsm 2026,

anaitwa nani na katika pengine wa kitivo gani gentleman?🐒
 
Wazazi wake ni wazembe sana
 
Wadau nilikuwa naomba mdau yoyote humu mwenye kitabu cha wahitimu udsm 2026 anisaidie kwenye website udsm sijafanikiwa kuona, ili niweze kutazama jina lake kama kweli ni miongoni mwa wahitimu!
Kile kitabu ni cha kusaini ukiwa unaenda kuchukua cheti ukishathibitisha cheti chako unasaini kitabu unakiacha pale haakitoki ovyo ovyo, ukihitaji hilo fika kwenye uongozi wa chuo ukajithibitishie ukiwa na vielelezo vya kuaminika.
 
Unakuta mtu tangu utotoni anafocus yeye na wenye uchungu juu yake ila akiwa viwango vya kuridhisha tu jitu linakuja juu yake kutengeneza historia.
Tena watu wengi hasa hapa bongo wameingie kwenye mtego huu. Umefika chuo, mjomba au Shangazi anakupa 50,000 ili baadaye ukijipata akikuomba usimnyime.

Ukimnyima tu anakukumbusha vile alivyokusidia TSH 50,000 😂
 
Huu uhuni sasa amefafanua mtoto alifiwa na mama yake wakachukuwa jukumu la kumsomesha sasa matusi ya nini?
Hili linaoloendelea sijalifanya kutafuta umaarufu humu mkuu.

Ukiona mtoto hana mpango na nyie na anawadanganya jua hata nyie wanafamilia mlikuwa hivyohivyo juu yake.

Na usiseme kisa amefiwa na mama yake ndio ashindwe kuendelea na masomo.


Je,kabla hajafiwa na huyo mama yake alikuwa anasoma?

Na unadhani baada ya kufiwa kwanini amekengeuka?

Tunayaona katika jamii.

Tena MATAKO YENU.

Mwacheni kijana aishi maisha yake.
 
Si bora wewe mkuu,

Kunawatu wanahistoria kuhusiana na haya majitu ya familia humu.TRUST ME

Ndio mana nilitoa onyo kwenye familia kuhusiana na mambo yangu,Haya waache yawe my own.mtu akileta ujinga namtanguliza akhera.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…