Familia tunahisi kijana ametuongopea kuwa amehitimu udsm 2026,

Familia tunahisi kijana ametuongopea kuwa amehitimu udsm 2026,

Hamdanganyi mtu anajidanganya mwenyewe kama ni hivyo.....

Mwaka flani dogo alitoka kucheki matokeo yake ya form four, akarudi home analiaa vibaya sana kuwa kafeli, bi mkubwa kambembeleza pale kijana wake.

Baada ya siku kupita nikamuuliza ulipata four ya ngapi, points anazosema sio za four, kwenda kwenye shule kucheki matokeo jina halipo. Kumbe hakufanya pepa alitimliwa akiwa form two kwahiyo akawa na kazi ya kula ada kila term, anatumiwa pesa za matumizi akiwa huko mkoa wa tofauti, wakati wa likizo anatumiwa nauli, wakati wa kuondoka anafanyiwa shopping ya shule....kumbe yupo tu kitaa.

Matokeo anayaona leo, alikua anajidanganya mwenyewe
Kuna mdogo wangu pia aliwahi kufanya huu mchezo,alianza vizuri chuo,.matokeo ya mwaka wa kwanza yakawa poa...tukaamini tusimfatilie ni kwamba anajitambua,kumbe kuanzia mwaka wa pili mpka wa nne maana alikuwa anachukua bachelor ya Law,dogo hakuendelea na masomo.

Akawa anapewa ada pamoja na mahitaji mengine yote,maana hakuwa na mkopo wa loan board,.

Kazi yake ilikuwa ni kutafuna zile ada,,na ni ada kubwa kiasi maana alikuwa anasoma chuo cha private..

Tulikuja kushtuka mwaka wa mwisho,kwenda chuo tukaambiwa huyu aliishia mwaka wa kwanza..

Tuliumia sana,dogo kuulizwa akaamua kusepa almost mwaka mzima hatujui yuko wapi..akaja kurudi na kuomba msamaha...

Mama yetu ana upendo sana,sisi tulikataa kabisa asisaidiwe tena..ni kweli dogo akarudi tena chuo kusomea Education..amemaliza chuo 2023,,mpaka leo yupo anambwela mbwela,ajira hajapata na umri umeenda ana almost 31,anabaki kuomba asaidiwe mtaji.imagine alitakiwa amalize chuo 2018 akiwa na umri mdogo.
 
Ukute alidisco.

Dogo alidisco chuo na hakutoa taarifa, tukawa tunalipia ada vizuri mpaka mwisho na hakuwa na mkopo hivyo gharama ilikuwa kubwa. Kamaliza naye akatwambia haina haja ya sie kwenda kwenye graduation.

Akaazima joho la mwenzake akapigia picha kisha akatutumia. Kimbembe kikaja kwenye kutafutiwa kazi, kila mchongo tunaopanga haendi interview kumbe vyeti hana. Kakazana yeye kuajiriwa hataki anataka kujiajiri. Basi atueleze anataka kujiajiri kwenye nini kila siku ana business plan mpya. Tukagundua hapa hamna wa kujiajiri tukomae tu aajiriwe. Ndio rafiki yake kuja kutueleza ukweli baada ya kuona tunahangaika sana.

Now yupo yupo tu haeleweki na umri unazidi kusonga na hana mishe ya maana. Kabakia kulaumu tu kila mtu.
Maisha yanaumiza sana imagine mtu amekula ada na pesa ya matumizi angelianzisha hata kitu mwisho wa siku akaja kuwaweka wazi situation yake angekuwa sehemu salama ya kuaminiwa na wanafamilia .
 
Kuna mdogo wangu pia aliwahi kufanya huu mchezo,alianza vizuri chuo,.matokeo ya mwaka wa kwanza yakawa poa...tukaamini tusimfatilie ni kwamba anajitambua,kumbe kuanzia mwaka wa pili mpka wa nne maana alikuwa anachukua bachelor ya Law,dogo hakuendelea na masomo.

Akawa anapewa ada pamoja na mahitaji mengine yote,maana hakuwa na mkopo wa loan board,.

Kazi yake ilikuwa ni kutafuna zile ada,,na ni ada kubwa kiasi maana alikuwa anasoma chuo cha private..

Tulikuja kushtuka mwaka wa mwisho,kwenda chuo tukaambiwa huyu aliishia mwaka wa kwanza..

Tuliumia sana,dogo kuulizwa akaamua kusepa almost mwaka mzima hatujui yuko wapi..akaja kurudi na kuomba msamaha...

Mama yetu ana upendo sana,sisi tulikataa kabisa asisaidiwe tena..ni kweli dogo akarudi tena chuo kusomea Education..amemaliza chuo 2023,,mpaka leo yupo anambwela mbwela,ajira hajapata na umri umeenda ana almost 31,anabaki kuomba asaidiwe mtaji.imagine alitakiwa amalize chuo 2018 akiwa na umri mdogo.

Tena unaweza kuta hali bange na hanywi pombe.

Yaan maamuzi yake anafanya akiwa sober.

"Maamuzi yako leo , ni matokeo ya Kesho"
 
Kuna mdogo wangu pia aliwahi kufanya huu mchezo,alianza vizuri chuo,.matokeo ya mwaka wa kwanza yakawa poa...tukaamini tusimfatilie ni kwamba anajitambua,kumbe kuanzia mwaka wa pili mpka wa nne maana alikuwa anachukua bachelor ya Law,dogo hakuendelea na masomo.

Akawa anapewa ada pamoja na mahitaji mengine yote,maana hakuwa na mkopo wa loan board,.

Kazi yake ilikuwa ni kutafuna zile ada,,na ni ada kubwa kiasi maana alikuwa anasoma chuo cha private..

Tulikuja kushtuka mwaka wa mwisho,kwenda chuo tukaambiwa huyu aliishia mwaka wa kwanza..

Tuliumia sana,dogo kuulizwa akaamua kusepa almost mwaka mzima hatujui yuko wapi..akaja kurudi na kuomba msamaha...

Mama yetu ana upendo sana,sisi tulikataa kabisa asisaidiwe tena..ni kweli dogo akarudi tena chuo kusomea Education..amemaliza chuo 2023,,mpaka leo yupo anambwela mbwela,ajira hajapata na umri umeenda ana almost 31,anabaki kuomba asaidiwe mtaji.imagine alitakiwa amalize chuo 2018 akiwa na umri mdogo.
Hiyo dhambi lazima imtafune tu , sisi mdogo wetu wa mwisho tulimsomesha wenyewe hakupata hata mia lakini nilikuwa nafunga safari hadi chuoni alikopanga naenda kupaona na kuonana na mwenye nyumba hadi anamaliza alikuwa anaona tunambania ila sasa hivi anatushkuru sana na alipata bahati ya kuajiliwa taasisi kubwa hapa tz
 
Inaumiza sana mkuu...
 
Sahihi kabisa,alikuwa hanywi kabisa wala kuvuta mpasa sasa hanywi wala kuvuta.
Unahisi shida ni nini hasa mtoto kuchukua maamuzi magumu kama haya?.

Mm nadhan ni kutamani mafanikio ya mapema. Na kuwaza kuwa anaweza kufanya mambo makubwa akiwa bado mdogo ili kuonyesha umma kuwa anaweza kufanikiwa mapema zaid na kuwa na wadhifa.

Ni tabia za watoto.

Kuna watoto tu yaan wao wanajiona wanaweza kujiongeza wenyewe na tena bila mfumo rasmi uliomchagulia.
 
Umenikumbusha nina binamu yangu naye janjajanja mingi kumbe chuo kaishia first year anapuna wazee wake tu.

Uzuri pesa alikuwa anafanya mishe za maana mtaani kabla ya kizazi hiki cha betting.

Wazee wakaja kugundua baada ya kumtafutia connection ya ajira akawa anarukaruka kama bisi huko alikokuwa.
 
Alikua mtaani tu, jamaa mmoja kampanga ndio anajifanya mwalimu..... anapiga simu kupitia huyo fake teacher, hela inatumwa kwa namba ya huyo fake teacher.

Kuna watu wana roho mbaya sana sijui angekua ndugu yake angefanya hivyo pia. 🙁
Umesahau vitu wiwili tu.

1.Kwenye kila pesa mnayotuma fake teacher anakula asilimia 20 ya pesa.

Mkituma laki dogo anakula 80 fake teacher anakula 20.

2.Siku akiwa kakaukiwa fake teacher bila kuwasiliana na dogo anapiga simu kumuombea dogo pesa mkituma anaifinya yeye kimya kimya bila ya dogo kujua.
 
mkuu, tatizo familia tumepambana sana juu yake hasa mimi uncle wake sabab mama yake alifariki alimuacha akiwa kidato cha Nne
Haitasaidia kitu kumpa shinikizo na matarajio yenu makubwa kwake.
Anaweza kuhitimu akarudi mtaani akakosa ajira.
Shinikizo lenu linaweza mfanya akakata mawasiliano na ndugu akapotea mazima.

Mwiteni mumwambie kufeli au kufukuzwa shule siyo mwisho wa maisha.

Yupo binti alimaliza form 4 akapata div 4 mbovu akaanza kulia sana kwa siku mbili.
Ndugu zake wa karibu wakaanza kumlaumu na kumsema wakimkatisha tamaa.
Nilimshauri vizuri (counseling) nikamchagulia vyuo na kozi za kusoma certificate. Kisha akasoma diploma na degree akapata first class.
Akafundisha chuo flani elimu ya juu akaacha. Sasa yupo serikalini taasisi inayolipa vizuri.

Ananishukuru sana kuliko nduguze wa damu.
 
habari ya wakat huu wadau? kama tittle inavyojieleza nina mjomba wangu ambae alikuwa akisoma udsm na mwaka huu ndio alitakiwa kuhitimu lakin kama familia tunashindwa kuelewa kama kweli kahitimu au anaidanganya familia, sababu aligoma kuonesha matokeo yake ya mwisho pia aligoma ndugu yoyote asiende kwenye mahafari hayo yaliyo fanyika october 15!

Wadau nilikuwa naomba mdau yoyote humu mwenye kitabu cha wahitimu udsm 2026 anisaidie kwenye website udsm sijafanikiwa kuona, ili niweze kutazama jina lake kama kweli ni miongoni mwa wahitimu!
Huyo kawapiga mkuu. Wapo wengi wa aina hiyo. Binti mmoja aliwahi kuidanganya familia yake wakawa wanamtumia hela anakula na kidume chake. Siku ya graduation akawaletea degree ya mtoto wa kiume {Bsc Baby Boy (Hons)}. Hawa watoto wetu wa AI tuwe nao makini sana.
 
Back
Top Bottom