Familia ya Aziz Abood inavyoishi kwa amani, waswahili tusingeweza tungeuana mchana kweupe

Superbug

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2018
Posts
13,864
Reaction score
35,079
Aziz Abood mbunge ni mtoto wa nje wa familia ya mzee Abood marehemu. Watoto halali wa ndoa ni kina Fawz Majid na Tarek. Hata hivyo Abood mbunge ndio anajulikana kama mwenye mali lakini uhalisia yeye wala hausiki kivile na ingekuwa mswahili angeipatapata.

Waswahili jifunzeni kuishi kwa upendo ndani ya familia zenu extended. Wakati mwingine Mungu hupitishia baraka KWA watoto wa kambo/ nje ya ndoa.
 
Aziz Abood mbunge ni mtoto wa nje wa familia ya mzee abood marehemu. Watoto halali wa ndoa ni kina fawz majid na tarek hata hivyo abood mbunge ndio anajulikana kama mwenye mali lakini uhalisia yeye wala hausiki kivile na ingekuwa mswahili angeipatapata. Waswahili jifunzeni kuishi KWA upendo ndani ya familia zenu extended. Wakati mwingine Mungu hupitishia baraka KWA watoto wa kambo/ nje ya ndoa.
Aisee,..
 
Ndio maana mnagawa Bandari na rasilimali zetu bure kwa foreigners sababu ya inferiority complex, kwa hiyo Waarabu wote Duniani hawana matatizo ya kifamilia?

Umeshawahi kusikia kitu kinaitwa honor killings huko kwa waarabu na waislamu?
 
Abood mwarabu

Wahindi na waarabu huwa hawana shida hata mmiliki mali akifa biashara zinaendelea vizuri shida iko kwa waswahili ngozi nyeusi.

ASAS mwenyewe mwanzisha kampuni alishafariki siku nyingi lakini ona kampuni inavyopaa juu, ana watoto wengi lakini wala hawana shida kuendesha.

Waswahili ngozi nyeusi kampuni anayejua kuiendesha anakuwa mzazi tu watoto hata hawashirikishi nadhani sababu ya ushirikina akifa na kampuni inakufa na anaacha migogoro ya mirathi kibao.
 
Angekuwa mswahili asingeruhusiwa kuhodhi mali ya familia Abood company ni empire kubwa sana ya kibiashara tanzania inayomoliki makampuni kibao pia haina skendo chafu hongera kwa familia ya abood.
Familia za waswahili aliyetoboa anataka nyie wengine muwe watwana tuuu , hakuchorei ramani... Ili akija home mumuone don , tatizo la Sisi waswahili watoto wa kambo tunatengenezeana chuki tangu tukiwa wadogo , mamother ndo chief engineer wa Hz chuki , ni katika familia ya Baba na mama mmoja ndo mnaweza peana support ...

Kurogana , chuki na kufanyiana fitina ni kawaida Sana kwenye familia za waswahili pindi Mzee aliyezaa na wanawake wengi wengi akifariki , huwa kuna mtifuano mkubwa Sana wa mali..usipokuwa makini unashushwa ahera kimasihara
 
Aziz Abood mbunge ni mtoto wa nje wa familia ya mzee abood marehemu. Watoto halali wa ndoa ni kina fawz majid na tarek hata hivyo abood mbunge ndio anajulikana kama mwenye mali lakini uhalisia yeye wala hausiki kivile na ingekuwa mswahili angeipatapata. Waswahili jifunzeni kuishi KWA upendo ndani ya familia zenu extended. Wakati mwingine Mungu hupitishia baraka KWA watoto wa kambo/ nje ya ndoa.
Unamaanisha nini unaposema mtoto wa nje? Je, mamake alipigwa nje? Au mzee Abood alipomwoa mamaje alikuwa anazaliwa? Sasa atakuwaje na ugomvi na ndugu zake kama wamezaliwa na mama mmoja?
 
Familia za waswahili aliyetoboa anataka nyie wengine muwe watwana tuuu , hakuchorei ramani... Ili akija home mumuone don , tatizo la Sisi waswahili watoto wa kambo tunatengenezeana chuki tangu tukiwa wadogo , mamother ndo chief engineer wa Hz chuki , ni katika familia ya Baba na mama mmoja ndo mnaweza peana support ...

Kurogana , chuki na kufanyiana fitina ni kawaida Sana kwenye familia za waswahili pindi Mzee aliyezaa na wanawake wengi wengi akifariki , huwa kuna mtifuano mkubwa Sana wa mali..usipokuwa makini unashushwa ahera kimasihara
Hili ni kosa la baba kutoweka mgawanyo wa mali mapema kwa kila mbegu yake
 
Aziz Abood mbunge ni mtoto wa nje wa familia ya mzee abood marehemu. Watoto halali wa ndoa ni kina Fawz Majid na Tarek. Hata hivyo Abood mbunge ndio anajulikana kama mwenye mali lakini uhalisia yeye wala hausiki kivile na ingekuwa mswahili angeipatapata.

Waswahili jifunzeni kuishi KWA upendo ndani ya familia zenu extended. Wakati mwingine Mungu hupitishia baraka KWA watoto wa kambo/ nje ya ndoa.

Nina uhakika kuna zaidi ya hapo, Hata wazungu toka Nashville wanauwana kila siku sababu ya Mali, huwa mnauzarau tu u Swahili wetu.
 
Ndio maana mnagawa Bandari na rasilimali zetu bure kwa foreigners sababu ya inferiority complex, kwa hiyo Waarabu wote Duniani hawana matatizo ya kifamilia?

Umeshawahi kusikia kitu kinaitwa honor killings huko kwa waarabu na waislamu?
Wewe unashida, wapi kaandika waarabu au waislamu? mtoa mada kaandika Aziz Abood hajasema dini yake wala kabila lake wewe umesharukia mambo ya bandari, dini sijui kabila. Nyinyi mna shida sana na hii nadhani kukosa kazi na umaskini ndio maana vijana wanaingia kwenye siasa na harakati wajuwa ndio njia ya kutokea.
 
Abood mwarabu

Wahindi na waarabu huwa hawana shida hata mmiliki mali akifa biashara zinaendelea vizuri shida iko kwa waswahili ngozi nyeusi.

ASAS mwenyewe mwanzisha kampuni alishafariki siku nyingi lakini ona kampuni inavyopaa juu, ana watoto wengi lakini wala hawana shida kuendesha.

Waswahili ngozi nyeusi kampuni anayejua kuiendesha anakuwa mzazi tu watoto hata hawashirikishi nadhani sababu ya ushirikina akifa na kampuni inakufa na anaacha migogoro ya mirathi kibao.
Point taken
 
Tunaitaji bandari zetu, usimshambulie jamaa wa watu bure, hili la bandari ni halali kuandikwa hata kwenye menu ya chakula, au ukienda Hotel kuagiza bandari.
 
Abood mwarabu

Wahindi na waarabu huwa hawana shida hata mmiliki mali akifa biashara zinaendelea vizuri shida iko kwa waswahili ngozi nyeusi.

ASAS mwenyewe mwanzisha kampuni alishafariki siku nyingi lakini ona kampuni inavyopaa juu, ana watoto wengi lakini wala hawana shida kuendesha.

Waswahili ngozi nyeusi kampuni anayejua kuiendesha anakuwa mzazi tu watoto hata hawashirikishi nadhani sababu ya ushirikina akifa na kampuni inakufa na anaacha migogoro ya mirathi kibao.
Umeenda mbali sana kuna familia ilikuwa inaheshimka kama ya Reginald Mengi? mzee alikuwa na heshima yake bila kujali mapungufu yake kama binadamu, lakini walianza kumdhalilisha mzee kabla hajafariki na baada ya kufariki ndio wakamvua nguo mzee hadharani, wakamwita mpaka alikuwa akili haziko sawa ni aibu kubwa. Dunia hii tafuta tumia usiache kitu. walichomfanyia yule mzee too much.
 
Back
Top Bottom