Familia ya Aziz Abood inavyoishi kwa amani, waswahili tusingeweza tungeuana mchana kweupe

Familia ya Aziz Abood inavyoishi kwa amani, waswahili tusingeweza tungeuana mchana kweupe

Hakika, wanafamilia wanatakiwa kubaki kama wanahisa tu wakati uendeshwaji ukifanywa na wataalamu walioajiliwa kwa ajili hiyo. Au kama miongoni mwa wana familia kuna wataalamu basi waajiriwe walipww kama wafanya kazi wengine kulingana na nafasi zao, huku wakiendelea kupata sehemu ya gawio kama wamiliki.
Wataalamu wa kibongo kampuni inakufa kesho
 
Umeenda mbali sana kuna familia ilikuwa inaheshimka kama ya Reginald Mengi? mzee alikuwa na heshima yake bila kujali mapungufu yake kama binadamu, lakini walianza kumdhalilisha mzee kabla hajafariki na baada ya kufariki ndio wakamvua nguo mzee hadharani, wakamwita mpaka alikuwa akili haziko sawa ni aibu kubwa. Dunia hii tafuta tumia usiache kitu. walichomfanyia yule mzee too much.
Kwani wewe hujui kuwa mtu anaweza asiwe na akili sawasawa either kwa ajiri ya uzee au ugonjwa?
 
pia haina skendo chafu hongera kwa familia ya Abood.
Inaonesha humjui Aziz ni nani: to me ni muuaji kuliko Paul Kagame.
i. Biqashara ya mafuta ya kula aliyokuwa anayafanya yalikuwa ni sumu na yasiyofaaa kabisa kwa mtumizi ya binandamu.
ii. Siku moja iliswahi kuandiskwa habari kwenye gazeti la majira ilitolea taarifa juu mbuzi kuoneakana wamekufa katika mazingira ya viwanda vyake vywa sabuni na mafuta. Mwandishi aliyeandika story hiyo alifuatawa na Azizi akatakiwa kukanusha habari hiyo kwa vitisho.

Ubaya wa Aziziz umevuka mipaka
 
Watu weupe huwa wanapendana hasa wenye asili ya Middle-east na mashariki ya mbali (Asia) nawazungumzia "wahindu na Waarabu na Wa-asia"
 
Aziz Abood mbunge ni mtoto wa nje wa familia ya mzee Abood marehemu. Watoto halali wa ndoa ni kina Fawz Majid na Tarek. Hata hivyo Abood mbunge ndio anajulikana kama mwenye mali lakini uhalisia yeye wala hausiki kivile na ingekuwa mswahili angeipatapata.

Waswahili jifunzeni kuishi kwa upendo ndani ya familia zenu extended. Wakati mwingine Mungu hupitishia baraka KWA watoto wa kambo/ nje ya ndoa.
Sasa hacha kuhukumu kwa ujumla,
Mbona kwa sie waswahili hayo Mambo yapo kibao,
Kuna familia ya kule Moshi, watoto wa nje ya ndoa kibao,
Na wanafanya kazi, kampuni moja ya, familia, wote wamesomeshwa, chuo kikuu
 
Aziz Abood mbunge ni mtoto wa nje wa familia ya mzee Abood marehemu. Watoto halali wa ndoa ni kina Fawz Majid na Tarek. Hata hivyo Abood mbunge ndio anajulikana kama mwenye mali lakini uhalisia yeye wala hausiki kivile na ingekuwa mswahili angeipatapata.

Waswahili jifunzeni kuishi kwa upendo ndani ya familia zenu extended. Wakati mwingine Mungu hupitishia baraka KWA watoto wa kambo/ nje ya ndoa.
Yaani unataka watoto wa nje wapewe mali zilizochumwa ndani ya familia? Sio kweli
 
Back
Top Bottom