Mkuu GT Pascal. Haya mambo ya privacy ni mtoni huko. Mswahili anaga privacy. Ndo maana uswaz ukioga mchana unaulizwa unakwenda wapi?Wana JF tujifunze kitu kinachoitwa the right to privacy za watu!. Sio busara, sio heshima, sio uungwana na sio ustaarabu to expose in public mambo binafsi ya ndani ya familia za watu!. Heshimu sana the right to privacy za watu!.
P