Familia ya Aziz Abood inavyoishi kwa amani, waswahili tusingeweza tungeuana mchana kweupe

Aziz Abood mbunge ni mtoto wa nje wa familia ya mzee abood marehemu. Watoto halali wa ndoa ni kina Fawz Majid na Tarek. Hata hivyo Abood mbunge ndio anajulikana kama mwenye mali lakini uhalisia yeye wala hausiki kivile na ingekuwa mswahili angeipatapata.

Waswahili jifunzeni kuishi KWA upendo ndani ya familia zenu extended. Wakati mwingine Mungu hupitishia baraka KWA watoto wa kambo/ nje ya ndoa.
Wakati mwingine Mungu hupitishia baraka KWA watoto wa kambo/ nje ya ndoa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aziz Abood mbunge ni mtoto wa nje wa familia ya mzee abood marehemu. Watoto halali wa ndoa ni kina Fawz Majid na Tarek. Hata hivyo Abood mbunge ndio anajulikana kama mwenye mali lakini uhalisia yeye wala hausiki kivile na ingekuwa mswahili angeipatapata.

Waswahili jifunzeni kuishi KWA upendo ndani ya familia zenu extended. Wakati mwingine Mungu hupitishia baraka KWA watoto wa kambo/ nje ya ndoa.
Kwahiyo mama Aziz alichepuka?
 
Abood mwarabu

Wahindi na waarabu huwa hawana shida hata mmiliki mali akifa biashara zinaendelea vizuri shida iko kwa waswahili ngozi nyeusi.

ASAS mwenyewe mwanzisha kampuni alishafariki siku nyingi lakini ona kampuni inavyopaa juu, ana watoto wengi lakini wala hawana shida kuendesha.

Waswahili ngozi nyeusi kampuni anayejua kuiendesha anakuwa mzazi tu watoto hata hawashirikishi nadhani sababu ya ushirikina akifa na kampuni inakufa na anaacha migogoro ya mirathi kibao.
Nikurekebishe kidogo mkuu. Founders wa Asas walikua wawili. Mkubwa na mdogo. Mkubwa alifariki ndio Yule wa iringa . Mdogo still alive yupo Dar. Msimamisi Kwa Iringa ni Salim CCM. Kwa dar ni Knife Mzee wa African totoz.
 
Aziz Abood mbunge ni mtoto wa nje wa familia ya mzee abood marehemu. Watoto halali wa ndoa ni kina Fawz Majid na Tarek. Hata hivyo Abood mbunge ndio anajulikana kama mwenye mali lakini uhalisia yeye wala hausiki kivile na ingekuwa mswahili angeipatapata.

Waswahili jifunzeni kuishi KWA upendo ndani ya familia zenu extended. Wakati mwingine Mungu hupitishia baraka KWA watoto wa kambo/ nje ya ndoa.
Wana JF tujifunze kitu kinachoitwa the right to privacy za watu!. Sio busara, sio heshima, sio uungwana na sio ustaarabu to expose in public mambo binafsi ya ndani ya familia za watu!. Heshimu sana the right to privacy za watu!.
P
 
Aziz Abood mbunge ni mtoto wa nje wa familia ya mzee abood marehemu. Watoto halali wa ndoa ni kina Fawz Majid na Tarek. Hata hivyo Abood mbunge ndio anajulikana kama mwenye mali lakini uhalisia yeye wala hausiki kivile na ingekuwa mswahili angeipatapata.

Waswahili jifunzeni kuishi KWA upendo ndani ya familia zenu extended. Wakati mwingine Mungu hupitishia baraka KWA watoto wa kambo/ nje ya ndoa.
Hivi waswahili kipi tume ongoza mpaka kua mfano wa kuigwa kwa wengine ukiondoa kuzaliana na kua ngono obsessed.
 
Familia za waswahili aliyetoboa anataka nyie wengine muwe watwana tuuu , hakuchorei ramani... Ili akija home mumuone don , tatizo la Sisi waswahili watoto wa kambo tunatengenezeana chuki tangu tukiwa wadogo , mamother ndo chief engineer wa Hz chuki , ni katika familia ya Baba na mama mmoja ndo mnaweza peana support ...

Kurogana , chuki na kufanyiana fitina ni kawaida Sana kwenye familia za waswahili pindi Mzee aliyezaa na wanawake wengi wengi akifariki , huwa kuna mtifuano mkubwa Sana wa mali..usipokuwa makini unashushwa ahera kimasihara
Mkuu usilaumu kwa waliotoboa. Iyo ni defensive mechanism. Mtu mweusi hata kama ni ndugu ujaribu kumsaidia ama ujitolee kumsaidia bado tu atataka kukuangusha na kukuua. Bora ukomae kivyako na mali zako.
 
Back
Top Bottom