Familia ya Aziz Abood inavyoishi kwa amani, waswahili tusingeweza tungeuana mchana kweupe

Asili yao, kwaasisi weusi ngumu
 
I really wonder

Yaani inakuaje wanadamu wengine wawe answerable kwako wewe kwenye maendeleo yako binafsi?

Kila mtu ni individual,anaendelea au kufilisika kutokana na capacity ya ubongo wake

Mtu yupo answerable kwake yeye mwenyewe na kwa mbali watoto wake na mkewe wanaomtegemea

Sasa wewe kukaa hapa na kuanza kupitisha judgements kwa wanadamu wengine who happen to be born in your clan and is more successful than you ni stupidity

Kila mtu awe free,atumie ubongo wake and other tools to advance themselves without interference from anyone!

Wewe kufeli is totally on yourself and your own brain,sio ndugu yako aliefanikiwa!

Muache
 

Lkn kaandika sisi Waswahili(wote) hivyo alituattack Waswahili na nina haki ya kujilinda na kuhit back!
 
Wana JF tujifunze kitu kinachoitwa the right to privacy za watu!. Sio busara, sio heshima, sio uungwana na sio ustaarabu to expose in public mambo binafsi ya ndani ya familia za watu!. Heshimu sana the right to privacy za watu!.
P
Mpaka Maxence Melo apelekwe mahakamani ndo tutajufunza
Enzi za Mengi ulikuwa ukitaja jina lake humu linagoma kama mnakumbuka
 
Ila MO kwa maneno yake CNN alisema anamiliki 75% ya METL ambayo ina kampuni zaidi ya 41
 
Lkn kaandika sisi Waswahili(wote) hivyo alituattack Waswahili na nina haki ya kujilinda na kuhit back!
Pole kama umehisi kafanya dharau lakini sisi tuna tabia na tumejizoesha kusema " Sisi waswahili tuna mambo" au usilete mambo ya kiswahili haya kwetu sio matusi ni kama hali fulani tunikosoa na wakati mwingine tunajisifu, Haya mambo ya kiswahili huyawezi. Mimi sidhani kama alikuwa ana tu attack sisi ni usemi wa kawaida tu. Kama ma black America wa kiitwa Nigger na mtu mweupe kwao tusi na ubaguzi lakini wao kwa wao wanaitana Nigger wanaona kawaida tu.
 
Wana JF tujifunze kitu kinachoitwa the right to privacy za watu!. Sio busara, sio heshima, sio uungwana na sio ustaarabu to expose in public mambo binafsi ya ndani ya familia za watu!. Heshimu sana the right to privacy za watu!.
P
Ukishakuwa public lazima usemwe.

Ila PPR mna demu mmoja white ana matako makubwa
 
Sikujua hili
 
Tumesha choka na matusi ya waswahili kwa kweli. Kila siku waswahili, wengine sisi wabara hata kiswahili hatujuhi.
 
Hawa brokers wa Kikwete wakiitwa HOME SHOPPING CENTRE zamani situ hizi GSM ndio washihiri wenye asili yao huko Yemen; je wanafuata suna za mtume kwa kuhujumu uchumi wetu kwa kuingiza makontena bila kulipa kodi?
HSC ilivunjika na kuwa

GSM
HH
SOL
FSM
 
Sio kweli kwamba waarabu na wahindi hawana shida kwenye mambo ya urithi.
 
Ili mali isigawanywe yapaswa familia iweze iendeleza au ina uelewa wa kuendeleza
Hakika, wanafamilia wanatakiwa kubaki kama wanahisa tu wakati uendeshwaji ukifanywa na wataalamu walioajiliwa kwa ajili hiyo. Au kama miongoni mwa wana familia kuna wataalamu basi waajiriwe walipww kama wafanya kazi wengine kulingana na nafasi zao, huku wakiendelea kupata sehemu ya gawio kama wamiliki.
 
Mkuu hata hizo za baba mmoja na mama mmoja Bado Kuna changamoto nyingi mno tamaa imezidi utu kwenye familia zetu hizi kifupi Kuna laana ya umasikini
 
Achana nae sshoga huyo
 
Abood kapata msiba,kafiwa na mama yake mzazi leo, mbele yake nyuma yetu, apumzike kwa amani.[emoji120]
 
Fungua kampuni, weka mali na milki zako chini ya kampuni, watoto wagawie shares...ukifa hata akitokea mvuta bangi hana la kufanya. Lazma asaidie kampuni iperform apate gawio...hawez kuua kampuni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…