Tissaphernes
JF-Expert Member
- Mar 27, 2018
- 2,902
- 3,560
Wataalamu wa kibongo kampuni inakufa keshoHakika, wanafamilia wanatakiwa kubaki kama wanahisa tu wakati uendeshwaji ukifanywa na wataalamu walioajiliwa kwa ajili hiyo. Au kama miongoni mwa wana familia kuna wataalamu basi waajiriwe walipww kama wafanya kazi wengine kulingana na nafasi zao, huku wakiendelea kupata sehemu ya gawio kama wamiliki.
Kwani wewe hujui kuwa mtu anaweza asiwe na akili sawasawa either kwa ajiri ya uzee au ugonjwa?Umeenda mbali sana kuna familia ilikuwa inaheshimka kama ya Reginald Mengi? mzee alikuwa na heshima yake bila kujali mapungufu yake kama binadamu, lakini walianza kumdhalilisha mzee kabla hajafariki na baada ya kufariki ndio wakamvua nguo mzee hadharani, wakamwita mpaka alikuwa akili haziko sawa ni aibu kubwa. Dunia hii tafuta tumia usiache kitu. walichomfanyia yule mzee too much.
Inaonesha humjui Aziz ni nani: to me ni muuaji kuliko Paul Kagame.pia haina skendo chafu hongera kwa familia ya Abood.
Sasa hacha kuhukumu kwa ujumla,Aziz Abood mbunge ni mtoto wa nje wa familia ya mzee Abood marehemu. Watoto halali wa ndoa ni kina Fawz Majid na Tarek. Hata hivyo Abood mbunge ndio anajulikana kama mwenye mali lakini uhalisia yeye wala hausiki kivile na ingekuwa mswahili angeipatapata.
Waswahili jifunzeni kuishi kwa upendo ndani ya familia zenu extended. Wakati mwingine Mungu hupitishia baraka KWA watoto wa kambo/ nje ya ndoa.
Umesema kweli.Wana JF tujifunze kitu kinachoitwa the right to privacy za watu!. Sio busara, sio heshima, sio uungwana na sio ustaarabu to expose in public mambo binafsi ya ndani ya familia za watu!. Heshimu sana the right to privacy za watu!.
P
Yaani unataka watoto wa nje wapewe mali zilizochumwa ndani ya familia? Sio kweliAziz Abood mbunge ni mtoto wa nje wa familia ya mzee Abood marehemu. Watoto halali wa ndoa ni kina Fawz Majid na Tarek. Hata hivyo Abood mbunge ndio anajulikana kama mwenye mali lakini uhalisia yeye wala hausiki kivile na ingekuwa mswahili angeipatapata.
Waswahili jifunzeni kuishi kwa upendo ndani ya familia zenu extended. Wakati mwingine Mungu hupitishia baraka KWA watoto wa kambo/ nje ya ndoa.