Familia ya Freeman Aikaeli Mbowe yathibitisha mwanafamilia kuwa na Corona

Familia ya Freeman Aikaeli Mbowe yathibitisha mwanafamilia kuwa na Corona

Kinoamiguu,
Mbowe huwa anaenda mahakamani kwa kushitakiwa, hata chaguzi mbalimbali za marudio tulikuwa na ushahidi wa rafu za wazi, lakini hakuagiza chama kifungue kesi. Sitegemei aende mahakamani kwa hilo, japo ushahidi uko wazi.
 
mbowe ndo alitakiwa ashtakiwe naona alikuwa na lengo la kusambaza ugonjwa! Sema Mungu yu pamoja nasi.
 
Tanzania hatuna mahakama,tuna mhimili wa mahakama ulioshindwa kujisimamia mwenyewe, uliokubali kuendeshwa na mhimili mwingine.
 
Alimtangaza mgonjwa akiwa hana mamlaka ya kufanya hivyo.
Alitumia cheo chake kuwaumiza wengine mfano kutoa taarifa za mgonjwa bila idhini yake.
Afikishwe mahakamani muhuni huyu meizi wa vyeti
Pole mh. Mbowe

Sent using Jamii Forums mobile app
Naunga mkono hoja,

Mhe.Mbowe ni muugwana hawezi kufungua shauri kama hili. Hivyo nimeshauri CJ abadili sheria zetu ili Mbowe akikashifiwa, sio lazima Mbowe aende mahakamani kufungua shauri bali hata wewe Mkuu Kinao Miguu ukiona Mbowe amedhalilishwa na kukashifiwa, unafungua shauri mahakamani kwa niaba yake.
Wito: CJ Prof. Ibrahim Juma, make a historia kwa Mahakama kutimiza wajibu wake kulinda haki. Tumia Suo Moto kui-check Serikali pia ruhusu Pro Bono - JamiiForums

P
 
Back
Top Bottom