Familia ya Freeman Aikaeli Mbowe yathibitisha mwanafamilia kuwa na Corona

Familia ya Freeman Aikaeli Mbowe yathibitisha mwanafamilia kuwa na Corona

Kuna kale kajamaa kanakopiga picha kwenye mawe Dodoma, vipi kanaitwa nani vile?
 
Mbowe kafanya UZEMBE ambao utagharim watu wengi
Mbowe hakua na sababu ya kuita press conference ilihali anajua anamgonjwa wa korona nyumban kwake huu ni uzembe unatakiwa kupingwa kwann baada ya kufaham kua mwanae alikua na Corona hakujiweka karantin mpaka ametangazwa na Paul makonda et leo ndio anasema amejitenga karantin yeye na wafanyakazi Wake
Wakati amesha fanya mizunguko mingi na hata kukutana na watu
MUNGU ainusuru Tanzania mungu atulinde

Sent using Jamii Forums mobile app
Ya Mbowe ndiyo unaona ?!. Vipi serikalini kuliko na mamlaka , Je wametimiza wajibu wao kuwalinda WaTz dhidi ya Corona ?!.

Huu ushabiki wenu maandazi utawaua kwa pressure. Huko kwenyewe serikalini tunaambiwa tusitishwe !! Halafu unaleta nyodo ?!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haya yote nikujarbu kumsafisha Mkonda ambae ni sikio la kufa. Fikiria wangapi walikuwa wanamkubali jana na leo wako wangapi??

Ameshaidhalilisha Serikali Kuu full stop. Bado tunasubiri kauli ya Waziri Mkuu. Nae akipotezea kama mfanyavyo ninyi dhidi ya sikio la kufa basi tutajua katumwa na aliyemtuma yuko juu kimamlaka.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na yeye( mtoto wa Mbowe) alitaka ajulikane tu hana lolote, sijaona sehemu akisema atachukua hatua gani za kisheria dhidi ya mtu aliyemtaja. Angenyamaza kimya angepoteza nini?
 
Hii familia idai fidia. Kesi iko wazi kabisa hii hata rufaa mahakamani ya Africa unapeleka kama ya Tanzania itazingua
 
Juzi kati mwamba Technically aka kamanda wa Chadema alianzisha uzi hapa akiombea Corona iingie nchini.. Sasa imeingia imeanza na ndugu wa chama chake..😀😆😀hapa ndo hua najiuliza chadema amebaki nani mzima upstairs
Hawa jamaa walimfanyia mbaya Dr slaa 2015 nafikiri kuna laana inawaandama, maana mwisho wa hiki chama ni 2020.Baada ya hapo itabaki historia.
 
Kwa majina anaitwa James ambowe

Kama mnavyo fahamu ndugu zangu Watanzania, Mkuu wa Mkoa wa Dar-es-Salaam leo afajiri aliamkia kwenye kituo cha mabasi cha Ubungo. Na akawa anazungumza na abiria wanaokwenda mikoani. Lakini Jambo la kushangaza ambalo ninaamini hata nyinyi Watanzania limewashangaza ni la bwana Makonda kujivika usemaji wa familia.
Watu mlinukuu vibaya Paul hakuwa na nia mbaya.Alikuwa anasema ugonjwa wa Corona upo na wananchi wachukue tahadhali,na pia hata mtoto wa Mwenyekiti Cdm anaugua. Na kwa sababu ya corona Cdm wasitisha mikutano yao iliyokua ianze tarehe nne April. Na kwa sababu mkuu wa nchi alishazuia mikutano hii lazima FFU wangepiga watu virungu na hata risasi.Watu wangeumia na huenda wangekufa.Na kwa sababu hii jambo hili lingeichafua taswira ya nchi yetu. Sasa dada Esyklite umeleta chumvi nyingi kutaka tu mh Paul aonekane hafai.
 
Alimtangaza mgonjwa akiwa hana mamlaka ya kufanya hivyo.
Alitumia cheo chake kuwaumiza wengine mfano kutoa taarifa za mgonjwa bila idhini yake.
Afikishwe mahakamani muhuni huyu meizi wa vyeti
Pole mh. Mbowe

Sent using Jamii Forums mobile app

Makonda ameliokoa taifa ! Mvowe alitaka kuwaambukiza wabunge wote


Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Back
Top Bottom