Futa jina mkuu tunaharibu hadhi ya JFunaambiwa Seif Idd hali tete !
Duh povu hili si bure!Alimtangaza mgonjwa akiwa hana mamlaka ya kufanya hivyo.
Alitumia cheo chake kuwaumiza wengine mfano kutoa taarifa za mgonjwa bila idhini yake.
Afikishwe mahakamani muhuni huyu meizi wa vyeti
Pole mh. Mbowe
Sent using Jamii Forums mobile app
tena nafikiri angekaa walipo wabunge wa ccmπππ !!!!Makonda ameliokoa taifa ! Mvowe alitaka kuwaambukiza wabunge wote
Sent from my iPhone using Tapatalk
Na yeye tena!unaambiwa Seif Idd hali tete !
Makonda ameliokoa taifa ! Mvowe alitaka kuwaambukiza wabunge wote
Sent from my iPhone using Tapatalk
ili iweje , sitafuta , unaujua utete wake ?
waambie kwanini alibembelezwa badala ya kuburuzwa karantini kama wengine ?
Naunga mkono hoja,Alimtangaza mgonjwa akiwa hana mamlaka ya kufanya hivyo.
Alitumia cheo chake kuwaumiza wengine mfano kutoa taarifa za mgonjwa bila idhini yake.
Afikishwe mahakamani muhuni huyu meizi wa vyeti
Pole mh. Mbowe
Sent using Jamii Forums mobile app
DebatableMbowe hawezi kuhangaika na watu wajinga
That is nonsense! Public figure has no confidentiality.Alimtangaza mgonjwa akiwa hana mamlaka ya kufanya hivyo.
Alitumia cheo chake kuwaumiza wengine mfano kutoa taarifa za mgonjwa bila idhini yake.
Afikishwe mahakamani muhuni huyu meizi wa vyeti
Pole mh. Mbowe
Sent using Jamii Forums mobile app