Mkongwe Mzoefu
JF-Expert Member
- Aug 10, 2018
- 861
- 2,515
Mjanja hajaingia kichwa kichwa kama halima mdee na bulaya! Nilifikiri angesema makonda mpumbavu tumuone.
Wanajitokeza kipindi cha corona ila kwenye maandamano hawaonekani.
Harafu hajakanusha kama hakuna mgonjwa nyumbani kwao!
Au ndio njia za kula rudhuku.
Jee na wewe ni MPUMBAVU kama Makonda?
Kwani kuna haja ya kurudia maana kasema "usimjibu mpumbavu" usije nawe ukaonekana mpumbavu.
Ni wazi kamtaja Makonda kama mtu Mpumbavu kulingana na biblia.
Sasa tunayo furaha kumpata Mpumbavu wa Taifa.
Sent using Jamii Forums mobile app