kerubi afunikaye
JF-Expert Member
- May 20, 2013
- 1,183
- 1,060
Hii ni first confirmed case ya community spread.
We need to tighten things now.
We need to tighten things now.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
tumia akiliHivi kwa nini ufipa boys hamnaga akili kabisa?
Maana yake asingeumwa mtoto wa mbowe mikutano ingekuwa pale pale?
Tumeshajua dawa yake siku nyingine akiitisha maandamano tunatanguliza watoto wake ,hasa wale wa Joyce Mkuya na bila shaka atayasitisha.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Katika hali hii, ujue ugonjwa ulishasambaa kitambo kimya kimya.Hii ni first confirmed case ya community spread.
We need to tighten things now.
NaamHivi kwa nini ufipa boys hamnaga akili kabisa?
Maana yake asingeumwa mtoto wa mbowe mikutano ingekuwa pale pale?
Tumeshajua dawa yake siku nyingine akiitisha maandamano tunatanguliza watoto wake ,hasa wale wa Joyce Mkuya na bila shaka atayasitisha.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Between the line,mh.mbowe anajaribu kusema Hali halisi na kuwajulisha watanzania kuwa serikali inajaribu kulificha Jambo hili,Yani lishatapakaa kiasi Cha kutosha hivyo tunasubiri mlipuko tu.
Je, tunaweza kuanzia hapa, na hii corona, tukajifunza tusiendelee na hizi lelemama zetu za kila siku?Sure,Kanda ya ziwa mwishoni mwa mwaka Jana mpaka January hapo kulikua na tatizo la watu kupata mafua sn na homa Ila imepita kimya kimya tu,watu weusi tuna shida kubwa vichwani
Taifa limejaa matakataka na wajingaHivi kwa nini ufipa boys hamnaga akili kabisa?
Maana yake asingeumwa mtoto wa mbowe mikutano ingekuwa pale pale?
Tumeshajua dawa yake siku nyingine akiitisha maandamano tunatanguliza watoto wake ,hasa wale wa Joyce Mkuya na bila shaka atayasitisha.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Huwa anahisi ameshamalizaBashite anfanya anachoagizwa, na kibaya zaidi,hana akili ya kujiongeza.
Nakumbuka vizuri mkuu.Katika hali hii, ujue ugonjwa ulishasambaa kitambo kimya kimya.
Bahati yetu pekee ni kwamba huenda kuna sababu zisizofahamika zinazofanya vifo viwe ndio alama ya ugonjwa kuwepo na kusambaa sehemu nyingi.
Miezi kadhaa ya nyuma, hata vijijini palikuwepo na mlipuko wa mafua kwa wingi.
Kama kawaida yetu, huwa hatudadisi vitu kama hivyo ambavyo tuna mazoea ya kuviona kama vya kawaida.
Hata wataalam wetu haviwashtui, mpaka siasa zianze ndipo utakapoanza kuona mishughuliko.
Hadi China walipoanza kujitangaza, ndio na vipimo maalum vya corona vilipoanza kupatikana. Je ule mlipuko uliotokea, watu wangepimwa ingeonekana kuwa ndio corona?
Je, huko vijijini hakuna wanaopata mafua na kuchukulia kuwa ni mafua ya kawaida?
Inawezekana kuna kitu/vitu vinavyotukinga kusitokee vifo vya corona?
Je, wataalam wetu wanavyovipimo vya kutosha, ili waende kule vijijini kuhakikisha kwamba mafua sio corona?
Haya ni baadhi ya maswali machache.
Magu je?