Familia ya Freeman Aikaeli Mbowe yathibitisha mwanafamilia kuwa na Corona

Jamani.. mbona siku hizi hatupewi tena taarifa za wagonjwa wameongezeka wangapi kama mwanzo? Naona kila mtu kimya kama vile ugonjwa umeisha!
Nimejiuliza huyu kapataje Corona, inabidi atuambie, au Ni wale mabeberu ambao hawajazuiwa kuingia mpaka Sasa ambao pia Ni rafiki za baba, nahisi hii corona atakuwa amepata kwa wakishua wenzie.

Ni muhimu Sana kupata taarifa hizi, Mana huyu haendi kariakoo anafanya shoping mall. Mpaka pasaka hali itakuwa mbaya sana and we need to lock down kama Italy na UK Spain na USA
 
Bado una akili za kitumwa. Sikushangai, soma...

Tafakuri ya Faizafoxy 5: Mtego wa panya, Rushwa, Ufisadi, Siasa, Uchumi, vimenasa vyote? - JamiiForums
 
Nimejiuliza huyu kapataje Corona, inabidi atuambie, au ni wale mabeberu ambao hawajazuiwa kuingia mpaka Sasa ambao pia Ni rafiki za baba, nahisi hii corona atakuwa amepata kwa wakishua wenzie.

Ni muhimu sana kupata taarifa hizi, Mana huyu haendi kariakoo anafanya shoping mall. Mpaka pasaka hali itakuwa mbaya sana and we need to lock down kama Italy na UK Spain na USA

Tatizo Lako una hisia za kimaskini
 
Kwa uzii huu, akili yako yakutosha kwa kuvuka barabara tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimejiuliza huyu kapataje Corona, inabidi atuambie, au ni wale mabeberu ambao hawajazuiwa kuingia mpaka Sasa ambao pia Ni rafiki za baba, nahisi hii corona atakuwa amepata kwa wakishua wenzie.

Ni muhimu sana kupata taarifa hizi, Mana huyu haendi kariakoo anafanya shoping mall. Mpaka pasaka hali itakuwa mbaya sana and we need to lock down kama Italy na UK Spain na USA
LOCK DOWN UNAIFAHAMu?
wakishua bhana
 
Akili za kipumbavu sana hizi..
 
Ikumbukwe kabla ya ugonjwa wa Corona haujafika Tanzania, Bavicha na chadema kwa ujumla walikuwa wakikesha mitandaoni wakiombea Corona ije ili wamkomoe na kumcheka rais Magufuli!.

Mwana jamii forum anayeitwa technically alileta Uzi humu akiombea na kushangaa kwa nini Corona haifiki haraka Tanzania!, Naam kama ilivyoandikwa aombacho mtu ndiyo hupewa, kama alivyoomba technically Corona imekuja Tanzania na hatua ya kwanza imeshambulia familia ya boss wake Freeman Mbowe!, nadhani sasa technically atakuwa anarukaruka kwa furaha sana huko aliko

Tuwaonye tu vijana wa chadema kuwa Mungu hana mchezo, mahaba yenu kwa Mbowe yasiwatoe ufahamu na kuanza kuiombea mabaya nchi mkidhani mnamkomoa rais Magufuli.
Sasa hivi mnamkejeli Makonda kwa kusema ni tasa mnasahau kuwa HalimaMdee ana miaka 45 na hana mtoto wala kutundikwa mimba.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom