Mkongwe Mzoefu
JF-Expert Member
- Aug 10, 2018
- 861
- 2,515
Mjanja hajaingia kichwa kichwa kama halima mdee na bulaya! Nilifikiri angesema makonda mpumbavu tumuone.
Wanajitokeza kipindi cha corona ila kwenye maandamano hawaonekani.
Harafu hajakanusha kama hakuna mgonjwa nyumbani kwao!
Au ndio njia za kula rudhuku.
Kwani kuwa mtoto wa Mbowe lazima awe mfuasi wa Chadema?Huyu jamaa mbona hatumuonagi kwenye maandamano
Ujumbe na umfikie Makonda
Hayo maneno ameambiwa nani?Nimependa hapo alipomalizia
Mithali 26 4-5
Usimjibu mpumbavu sawasawa na upumbavu wake;
Usije ukafanana naye.
5Umjibu mpumbavu sawasawa na upumbavu wake;
Asije akawa mwenye hekima machoni pake.
6Apelekaye ujumbe kwa mkono wa mpumbavu
Hujikata miguu, na kunywa hasara.
Ujumbe umefika kwa mhusika mkuu.
Ila nisingependa liishie kwenye matamko tu bali afikishwe kwenye vyombo vya kutafsiri sheria.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe huwa upo kwenye hayo maandamano?Huyu jamaa mbona hatumuonagi kwenye maandamano
Ni kweli, DAB ana shida upstairsUbishi hautawasaidia viongozi wa serikali ya Tanzania , Makonda aangaliwe afya ya akili
Ubishi hautawasaidia viongozi wa serikali ya Tanzania , Makonda aangaliwe afya ya akili
Bashite anfanya anachoagizwa na kibaya zaidi hana akili ya kujiongeza.