Familia ya Hayati Magufuli inajisikiaje Baba yao kutukanwa miaka miwili baada ya kufariki?

uck ..him huko alikohate that nigga
 
Unaweza kumuibia mtu atasahau,lakini siyo kumtesa kumfunga na kumuuwa, niseme tu alikuwa rais mbaya sana, kuwahi kutokea
 
Magufuli alikuwa katili na muuaji lazima atukanwe mpaka siku ya mwisho
 
Mkuu humu wafuasi wa DJ na wazuri hawafi wana id ishirini ishirini hawafiki hata mia ndio maana jukwaani wanaomsema vibaya ccm na ufipa hawazidi mia.
Kwa ground vitu ni tofauti, hata mitandao mingine kama twitter, insta, fb hamna hao wanamsema vibaya.
Na kuna wachache waliachwa na mimba sasa ndio wanaoteseka
 
Watanzania tuna mambo ya ovyo, muhusika alikwisha kufa na hatarudi tena pamoja na kuwepo kwa sheria inayowalinda viongozi, lakini bado wapo wanaomuabudu na kumtii wakidhani atarudi! Harudi tena huyo fanyeni mambo mengine yenye tija.
Nilitegemea uwashauri viongozi waache kuua na kuteka watu ili kuepusha kutukanwa. Pia waache kutukana wengine ili wasirudishiwe matusi. Magu alipanda matusi, unakumbuka aliwaambia wastaafu waache kuwashwa washwa? Majaliwa aliambiwa shangazi zake watachapwa? Bukoba wakaambiwa yeye hajaleta tetemeko. Hayo ni matusi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…