Familia ya Hayati Magufuli inajisikiaje Baba yao kutukanwa miaka miwili baada ya kufariki?

Hawana la kufanya, wavumilie tu maana baba yao alikuwa Rais wetu...

Wanapaswa kujisikia vilevile kama ambavyo wanavyosikia anavyosifiwa..!!
 

Familia yake wanaweza kujisikia vibaya kuhusu baba yao kusemwa wao wakiwa binadamu, ila hilo halikuanza baada ya kufariki kwake. Kinachofanyika sasa sio matusi, bali watu wanasoma kitabu cha maisha alichoandika baba yao. Na hawana lolote la kufanya maana yasemwayo ni kweli.
 
This is unfair kwa wapenzi, ndugu na jamaa wa marehemu kwani huwaponyi Bali unawaadhibu kwa kufanya psychological torture! Acha hii kitu Mara moja kwani unafanya jinai na huitakii jamii yake amani.
Viongozi wetu wanajitahidi kutuleta pamoja na kusahau yaliyopita wewe unachochea mpasuko na uvunjivu wa amani dhidi ya wafuasi wake na wasio wafuasi wake! Lengo lako ni nini Kama huchochei vurugu?
Halafu unajiona umeandika as a gt!
 
Sheria hazifanyi kazi retrospectively, hivyo huwezi kuwashitaki marais wa zamani kwa sheria mpya, labda mapinduzi yatokee na waamue kuchukua hatua kwa hisia badala ya sheria.
 

Umesahau kikwete alivyokua akitukanwa akiwa madarakan? Unakumbuka wakati magufuli yupo madarakani kulikua na kauli za hao wastaafu wanawashwa?

Hebu kitulize kwanza!
 

Bila mambo haya kusemwa ni rahisi kujirudia hasa kwa katiba hii. Ni bora watu waseme ili wengine watakaobahatika kupata madaraka wawe viongozi wema.
 
Bila mambo haya kusemwa ni rahisi kujirudia hasa kwa katiba hii. Ni bora watu waseme ili wengine watakaobahatika kupata madaraka wawe viongozi wema.
Familia yake haikuwa rais wa nchi hii hivyo kuwaingiza Kama sehemu ya utawala wake haileti afya! Tujifunze kuziweka familia zetu mbali na uongozi wetu.
 
Wanakula matunda ya legacy πŸ˜€πŸ˜€
 
Sasa kama na wewe sio mpumbavu niambie kwenye utawala wa JP ni nani aliewahi kuongezewa mshahara, ni viongozi wapi walikuwa wanatembelea IST? Usijizime data, eti na wewe ni mwalimu. Bure kabisa
 
Kumbe kuna machoko bado nyolo zinapwita sana wakiskia Jina la JPM
So long as mko hai mtabeba majanga aliyochuma huyo mtu wenu..😁😁😁😁.

alipiga watu risasi hata pole hakuna,
alivunja watu miguu akasema eti walilewa 😁😁😁😁.

Nawapatiliza wana dhambi za baba zao,mtabeba Hadi mnaingia makaburini kumfuata baba yenu πŸ’‰πŸ’‰πŸ’‰
 
Hii ni cheap politics madam, wengi wamejaribu kuja na hii propaganda na wote wameangukia pua. Ofisi sio watu. Unaweza ukawa na ofisi nchi nzima na watu wasikuelewe. So njoo na hoja nyingine
 
Kwa Magufuli wala usiwe na wasiwasi na familia yake. Hata wenyewe walifurahi DIKTETA kurudisha namba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…