Familia ya Hayati Magufuli inajisikiaje Baba yao kutukanwa miaka miwili baada ya kufariki?

Familia ya Hayati Magufuli inajisikiaje Baba yao kutukanwa miaka miwili baada ya kufariki?

Kabla ya Hayati Magufuli walikuwepo Marais wanne waliomtangulia, ila wote hakuna anayetukanwa si mitandaoni wala majukwaani. Hayati Magufuli amevunja rekodi ya kutukanwa na kubezwa sana,si majukwaani au mitandaoni.

Alikosea wapi? Familia inajisikiaje?Au wameshazoea? Je, tuna la kujifunza kwake? Au tuko tayari kutukanwa tukifa?

Familia yake najua wapo humu mitandaoni wanasoma tu matusi juu ya baba yao. Mama Janeth naye anayasoma
Ukubwa gunia la chawa. Ukikubali uongozi wa nchi, umekubali kutukanwa.

Huwezi kuongoza mamilioni ya watu bila kutukanwa.

Hivyo basi, uamuzi wa mtu kuwa mwanasiasa wa kitaifa unatakiwa kufanywa kwa ridhaa ya familia.

Ili wote wakubali kwamba wanaingia kwenye mtanange mgumu, na si tu baba yao anaweza kutukanwa, bali pia anaweza hata kuuawa.

Ndiyo maana wenzetu utawasikia wanasema "bada ya kushauriana na familia yangu, nimeona nigombee nafasi hii".

General Colin Powell wa Marekani kuna wakati alitaka kugombea urais, lakini familia yake, hususan mkewe, akawa amekataa, akihofia watu wabaguzi weupe wangemuua kwa kukataa kuwa na rais mweusi.

Colin Powell akasema hajapata baraka za familia yake kugombea urais, akaendelea na mambo mengine.

Kwa hivyo, familia ya Magufuli ilitakiwa ijue kwamba ukubwa si utamu tu wa kuongoza nchi, magari makubwa, kuwa na influence ya kuteua watu etc. Ukubwa una upande mbaya sana wa mtu kutukanwa hata anapofanya vizuri.

Kama familia haitaki mtu wao atukanwe, basi imshauri asijiingize kwenye siasa.
 
Waliishi zaidi ya malaika wakati yuko hai,watulie sasa
Kumbe sasa hivi wanaishi kama mashetani,hawana uhakika wa kula,wanaosoma hawaendi shule sababu hawawezi lipia school fees,wanasaga lami jua lao mvua yao.Hawana uhakika wa sehemu ya kuishi.
 
Kabla ya Hayati Magufuli walikuwepo Marais wanne waliomtangulia, ila wote hakuna anayetukanwa si mitandaoni wala majukwaani. Hayati Magufuli amevunja rekodi ya kutukanwa na kubezwa sana,si majukwaani au mitandaoni.

Alikosea wapi? Familia inajisikiaje?Au wameshazoea? Je, tuna la kujifunza kwake? Au tuko tayari kutukanwa tukifa?

Familia yake najua wapo humu mitandaoni wanasoma tu matusi juu ya baba yao. Mama Janeth naye anayasoma
As you sow, so shall you reap.
 
Nilitegemea uwashauri viongozi waache kuua na kuteka watu ili kuepusha kutukanwa. Pia waache kutukana wengine ili wasirudishiwe matusi. Magu alipanda matusi, unakumbuka aliwaambia wastaafu waache kuwashwa washwa? Majaliwa aliambiwa shangazi zake watachapwa? Bukoba wakaambiwa yeye hajaleta tetemeko. Hayo ni matusi
Yule baba alikuwa na mdomo mchafu! Wengine aliwaambia wapige mbuzi, wengine walale na mavi yao ndani ya nyumba zao.
 
Kwa taarifa Yako aliitesa Sana familia yake
Kuna Binti yake alijiua kwaajili yake
Alisha watia sero nduguzake Dodoma na kuwanyanganya mitambo ya ujenzi
Alisha pasua jeneza koo
Hii niliwahi kusikia kijiwe fulani. Kuna ukweli?
 
Kabla ya Hayati Magufuli walikuwepo Marais wanne waliomtangulia, ila wote hakuna anayetukanwa si mitandaoni wala majukwaani. Hayati Magufuli amevunja rekodi ya kutukanwa na kubezwa sana,si majukwaani au mitandaoni.

Alikosea wapi? Familia inajisikiaje?Au wameshazoea? Je, tuna la kujifunza kwake? Au tuko tayari kutukanwa tukifa?

Familia yake najua wapo humu mitandaoni wanasoma tu matusi juu ya baba yao. Mama Janeth naye anayasoma

Wanatukanwa na Nani? Ni dalili ya kushindwa na kufirisika. Nenda Insta au huko Facebook kwa wanyonge weka mada yako Kama hayo matusi hayajarudi kwa wewe na kizazi chako. Kule ndo type yenu inawafaa. Mnatia aibu kwa kuwa mnajipa IDs tofauti na then mnajitekenya wenyewe. Kikwete mlimtukana sana na Familia yake , leo unajifanya umesahau? Kwenu kubaki relevant lazima kumtaja hayati. Ni dalili ya kushindwa vita.
 
Yule Muhutu ni kama dini? I'm not surprised kwani kuna dini za shetani pia na obviously huyo Mwendakuzimu ni dini ya shetani.
Dini ya kuua, kujeruhi, kutesa, kuteka, kudhulumu na kupora.
Ndio hata ukristo na uislamu ni dini zilizosimama kwa gharama za damu,pia serikali nyingi duniani zimesimama kwa gharama za maisha ya RAIA wake sembuse magufuli? Style up wewe....look for the best approach.
 
Best approach my foot, if killing, kidnapping, torturing, extortion and robbing is the cost that you'd prefer to pay then you're still living in the stone age era.
Huyo Muhutu alistahili kutawala kwao Burundi.
 
Kwa taarifa Yako aliitesa Sana familia yake
Kuna Binti yake alijiua kwaajili yake
Alisha watia sero nduguzake Dodoma na kuwanyanganya mitambo ya ujenzi
Alisha pasua jeneza koo
Yule Binti yake aliyekufa mwaka 2012, alikunywa sumu akafa baada ya kuingiliwa kimwili na Baba yake mzazi huyo Magufuli
 
Watanzania tuna mambo ya ovyo, muhusika alikwisha kufa na hatarudi tena pamoja na kuwepo kwa sheria inayowalinda viongozi, lakini bado wapo wanaomuabudu na kumtii wakidhani atarudi! Harudi tena huyo fanyeni mambo mengine yenye tija.

Tafadhali ondoa hilo neno “Watanzania “ na uweke neno “familia yako ni mafala kweli kweli “ . Kijana mdogo ukome kabisa kulinganisha watanzani na mitabia ya uko kwenu ya kijinga, tena UKOME!
Idiot!
 
Best approach my foot, if killing, kidnapping, torturing, extortion and robbing is the cost that you'd prefer to pay then you're still living in the stone age era.
Huyo Muhutu alistahili kutawala kwao Burundi.
You are just a learned friend who thinks that leading a country is that way simple especially here in Africa where power is centralized to one person....
Kwetu Tanzania rais ni kama mungu, unauliwa tu hata na wahusika wengine wanaosaka madaraka na sifa alafu lawama zinamuendea ambaye hata hahusiki. Same case to magufuli....lakini how long tutachukua kila siku kumponda ambaye ameshakufa?
 
Watanzania tuna mambo ya ovyo, muhusika alikwisha kufa na hatarudi tena pamoja na kuwepo kwa sheria inayowalinda viongozi, lakini bado wapo wanaomuabudu na kumtii wakidhani atarudi! Harudi tena huyo fanyeni mambo mengine yenye tija.
Labda sukuma gang ndiyo wanamuabudu lakini wengine wote wanakemea ushetani wake ili kamwe wasije jitokeza viongozi kama yeye!
 
Poleni wote mnaohuzunika kwa kuhuzunisha

Poleni wote mnaohuzunisha kwa kuhuzunika.

Najua familia zote, za waliopotea, waliopotezwa, waliojiteka, waliotekwa, waliouwaa, waliokoswa koswa kuuwawa, Wote wana mahuzuniko hata tuweke tusi lolote lile kwa mfu.

Hakuna faraja kwa yeyote yule. Hata yule mwenye tusi la Kombe la Dunia. Unahuzunika, Unahuzunisha.

Fainali 2025

Mkae kwa Amani kuelekea Maridhiano...ya siri ya wazi ya kutungwa n.k
Poleni wote mnaoguswa.
 
Back
Top Bottom