Captain Fire
JF-Expert Member
- Jul 23, 2023
- 2,435
- 5,000
Pim
Pumbafu zaoKuna habari za chini ya kapeti kwamba familia ya JPM inajipanga kusimamisha kijana wao agombee ubunge wa Chato.
Karata hii inaungwa mkono na watu wa mfumo, hasa kwa kuangalia malengo ya uchaguzi mkuu 2025 na kuzikamata kura za Kanda ya ziwa.
Habari zinaeleza kwamba, kimkakati, Mama Samia atazunguka na kijana huyo wa JPM Kanda ya ziwa, hasa shinyanga, mwanza, Geita, Simiyu na Tabora.
Mikoa hiyo Ina "wanazi" wengi wa JPM , hivyo mvuto mkubwa wa kura utapatikana, na inawezekana wakati wa kampeni, akaahidiwa unaibu waziri wa ujenzi