Familia ya Hayati Magufuli kusimamisha kijana wao Ubunge wa Chato 2025, Samia kuzunguka naye kimkakati mikoa maalum

Pim
Kuna habari za chini ya kapeti kwamba familia ya JPM inajipanga kusimamisha kijana wao agombee ubunge wa Chato.

Karata hii inaungwa mkono na watu wa mfumo, hasa kwa kuangalia malengo ya uchaguzi mkuu 2025 na kuzikamata kura za Kanda ya ziwa.

Habari zinaeleza kwamba, kimkakati, Mama Samia atazunguka na kijana huyo wa JPM Kanda ya ziwa, hasa shinyanga, mwanza, Geita, Simiyu na Tabora.

Mikoa hiyo Ina "wanazi" wengi wa JPM , hivyo mvuto mkubwa wa kura utapatikana, na inawezekana wakati wa kampeni, akaahidiwa unaibu waziri wa ujenzi
Pumbafu zao
 
Etii furaha dominic khaa....amekurupukia fm radio naona sasa inamshinda.....njomba hayupo kusukumia matangazo hukoooo....
 
Tume sio Kila kitu, hata USA uchaguzi unaletaga utata, halafu mfumo hauwezi kuruhusu majitu ya hovyo kwa sababu tu yameshinda uchaguzi.
Cc: MuslimBrotherHood, Misri
Uko sahihi kwa 100%....,unaweza kushinda lakini ukakatwa tu,kwa sababu hujafikia kiwango hitajika hasa kihekima,na ustahimilivu. (kushinda tu kwa kura bado sio kigezo cha kupewa kijiti cha kuongoza,) NADHANI NDANI KATIBA MPYA IONE INAWEKAJI SENETA MAALUMU AMBAYO NDIYO ITAKUWA YA MWISHO, KAMA KIPIMO CHA ALIYECHAGULIWA ANAFAA AU HATUFAI.
 
Kuna habari za chini ya kapeti kwamba familia ya JPM inajipanga kusimamisha kijana wao agombee ubunge wa Chato.

Karata hii inaungwa mkono na watu wa mfumo, hasa kwa kuangalia malengo ya uchaguzi mkuu 2025 na kuzikamata kura za Kanda ya ziwa.

Habari zinaeleza kwamba, kimkakati, Mama Samia atazunguka na kijana huyo wa JPM Kanda ya ziwa, hasa shinyanga, mwanza, Geita, Simiyu na Tabora.

Mikoa hiyo Ina "wanazi" wengi wa JPM , hivyo mvuto mkubwa wa kura utapatikana, na inawezekana wakati wa kampeni, akaahidiwa unaibu waziri wa ujenzi
Watakaomchagua watakuwa ni wapuuzi
 
Back
Top Bottom